Vigogo Mashuhuri wajitoa CUF

Maalim seif anatakiwa kutoka mafichoni kuokoa chama. Naona ukimya wake na huu mwendelezo wa kujitoa kwa wanachama hautakiwi kuachwa bila ufumbuzi. Kufikia 2015 chama cha CUF kinaweza kisiwepo tena.

Maalim hana wasiwasi CUF haitaki tena keshakula hulua !!!

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
leo nimepita sehemu moja tandika nimekuta bango la CUF likiwahamasisha wanachama kujiandaa kwenda airport kumpokea mwenyekiti wao lipumba.. never-say-die fans hao wa lipumba..

Hilo bango halikuwa karibu na nyumba ya Ibada?
 
leo nimepita sehemu moja tandika nimekuta bango la CUF likiwahamasisha wanachama kujiandaa kwenda airport kumpokea mwenyekiti wao lipumba.. never-say-die fans hao wa lipumba..
Kupe huwa hafi hadi ngozi ikauke kabisa.
 
BJ nimefurahi kukuona jukwaa hili!. Japa ikitaja BJ ni Belinda Jacob tuu sio kama kule!.
Nikirudi kwenye mada, "nothing is imposible under the sun"!.

Ni msomaji sana jukwaa hili kuliko changia. Halafu wamechakachua jina langu, itabidi nibadili kutochanganya mambo ha ha..

Huo msemo nimekupata ila Chadema haiwezi tetereka leo wala mwaka ujao. Ipo strong tena stronger than you think..!
 
CUF wamempoteza huyu jamaa Kadawi Lucas Limbu. Huyu Kadawi kahudhulia midahalo mingi ya CUF ktk tv, muongeaji mzuri anajitaidi. Ningemshauri ajiunge na chadema ili afanye mapambano ya ukweli si kama ya awali ya chama chake cha zamani.
CUF go to hell.
R.I.P
 
Nikitizama kifo cha cuf namkumbuka alie wahi kuwa msemaji wa rais Sadam Hussein wakati wanajeshi wa marekani wanapiga mabom nje ya station ya redio yy alikua ndani akidai wanajeshi wa Iraq wamesambaratisha jeshi la marekani na wamefafurusha nje ya iraq, ndicho afanyacho Mtatiro.
 
Haki sawa kwa wote.Ngunguri,Ngangari,Asiyependa haki aelimishwe dma Cuf!Kweli Upinzani hauna maana ndan ya Tz
 
Nikitizama kifo cha cuf namkumbuka alie wahi kuwa msemaji wa rais Sadam Hussein wakati wanajeshi wa marekani wanapiga mabom nje ya station ya redio yy alikua ndani akidai wanajeshi wa Iraq wamesambaratisha jeshi la marekani na wamefafurusha nje ya iraq, ndicho afanyacho Mtatiro.

Ujira wake ni kukisemea chama hayo anayosema au unataka afutwe kazi?

Ni lazima sasa UFE CUF ili lengo lako la kuikomboa TZ litimie kwa Vyama vyenye nguvu kuchukua USUKANI; nenda CUF nenda CUF, Nenda CUF;

Msalimie TANU, ASP, wambie mwanao CCM yuko mahututi, kifo chako ni matokeo ya kujaribu kuzuia yeye asife, hakika kama wewe umeshindwa kuzuia na yeye atakufa tu 2015. Usisahau kuwaambie mwenye nguvu ni nani kwa sasa TZ.
 
[Viongozi mashuhuri wa CUF wamejitoa katika chama hicho leo.Viongozi hao ni aliyekuwa meneja kampeni wa Urais wa Lipumba Bw Said Miraji na aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Temeke kupitia CUF Bw Kadawi Lucas Limbu.Viongozi hao kwa pamoja wamesema wanajitoa CUF rasmi leo kutokana na vurugu kubwa zinazoendelea ndani ya chama hicho na pia wasingependa kuona chama hicho kikizikwa wakiwa bado wanachama.SOURCE: CHANEL TEN]

"Ni bahati kuwa tangia awali hamkufahamu CUF ni chama cha nani. Anyway, mapinduzi yanaanzia pale unapojitambua. Nawatakia safari njema katika siasa zenyu"

Back
Top Bottom