Vigogo Mashuhuri wajitoa CUF

Inavyoonekana wanataka kumfuata Hamad Rashid atakakoelekea

Walikuwa wanamchukulia poa hamad rashid, sasa ngoja awashughulikie hadi wakome.

Na inavyoonekana alikuwa na ushawishi mkubwa sana ndani ya cuf ndo maana bara wanajing'atua fasta fasta, pemba sijui bado wanamuogopa maalim huenda wangeshajitokeza hadharani na kutangaza kujitoa!
 
Na ninachompendea Hamad Rashid ni king'ang'anizi hakubali kushindwa.Yuko radhi hata auze mali zake ili kuizika CUF
 
Tatizo kubwa ni cuf kukubali kushirikiana na ccm ukishashirikiana na ccm kamwe huwezi dumu

Na bahati mbaya sana kwao ushirikiano huo ulilazimishwa na maalim seif baada ya kuona kwamba huenda asipate tena nafasi ya kukanyaga ikulu, akaona bora ajitafutie mafao ya uzeeni. Na ccm bila kufanya ajizi wakamkubalia kumpa ulaji kwa sharti la kuiporomosha cuf naye akaingia kingi!

Sasa hamad rashid alipotaka kumpumzisha uongozi wa chama akageuka mbogo, sasa matokeo yake chama linaporomoka.
 
Na ninachompendea Hamad Rashid ni king'ang'anizi hakubali kushindwa.Yuko radhi hata auze mali zake ili kuizika CUF

Na cuf wasiposhtuka mapema watakuja kutahamaki wakute pemba yote iko mikononi mwa ccm.
Lakini kwakuwa wanasema saint maalim haguswi, wacha tuone mtanange utakavyoendelea.
 
Huwa nakaaga kikao cha kupata kiraji na Michael Nyaruba, huyu ndio alikuwa Naibu katibu mkuu wa CUF Tanzania bara, akikueleza habari za CUF utashangaa sana ukiona Mtanganyika anaiunga mkono CUF.
CUF ni chama cha Wanzanzibar na Zanzibar ni nchi, ni waste of time kuijadili CUF hapa, ni sawa na kuijadili ODM au Zanu PF hapa.
 
Mkuu kama wana akili wangepaswa kustuka mapokezi ya Hamad Rashid siku akipoenda Pemba.Nakuambia alilakiwa kama mfalme.Tangu siku ile maalim Seif alianza kuwashiwa taa nyekundu
 
Barubaru hajapigwa ban, alitangaza mwenyewe kujiengua toka JF. Nafikiri ameamua kukimbia baada ya mdini mwenzake FF kupigwa life ban!

Na kwa kweli sijaona utumbo wake wa kichochezi hapa JF kwa muda mrefu
 
Huwa nakaaga kikao cha kupata kiraji na Michael Nyaruba, huyu ndio alikuwa Naibu katibu mkuu wa CUF Tanzania bara, akikueleza habari za CUF utashangaa sana ukiona Mtanganyika anaiunga mkono CUF.
CUF ni chama cha Wanzanzibar na Zanzibar ni nchi, ni waste of time kuijadili CUF hapa, ni sawa na kuijadili ODM au Zanu PF hapa.

Mkuu unenitisha na hili bandiko lako.Halafu Mtatiro bila aibu anaongea mpaka mishipa inamtoka kama kakabwa na maji kooni
 
Hakika CUF inakwenda kaburini

Kama Cuf kitakufa sasa nayo ccm si lazima itakufa? Kwa sababu mara nyingi mke anapofariki mme huendelea kudhoofika na mwisho naye hufariki kumfuata mkeo mautini. Kifo cha cuf ndiyo mauti ccm.
 
Mkuu na hasa ikigundulika mke kafa kwa ugonjwa gani?
 
Back
Top Bottom