Vigezo. . .

Vigezo kwa wanawake vinaenda hivi

1.yuko in her twenties....vigezo zaidi ya kumi

2.tuko in her late twenties vigezo zaidi ya vitano

3.yuko in her thirties....vigezo viwili....

4..yuko in her late thirties....kigezo kimoja tu lol

5.yuko in her early forties.....hakuna kigezo hapo ni kujaribu yeyote atakaejitokeza lol
 
Kwahiyo wale wanaotaka kuambiwa tu habari za ndoa na wanaotaka pesa ndo kazi kuwapata eeehhh?

Pamoja na haya makundi pia si unajua hawa ni watu na waweza kuwa wana borrow characters from either groups other than anayo belong ................kuna wanaotaka kuolewa ila wakijitokeza waoaji huanza kujipurukusha na kuanza mapoooozi........

But the way way I have lived my experience hawa miss independent huwa wanakuwa hivyo kwa sababu in real senses wako desperate wanakuwa wameumizwa sana na mwisho wanapata kipato na hapo tu ndo wanakuwa vifaru so ni kama mbogo mjeruhiwa mwisho wa siku atahitaji tu kupumzika na usiku ukifika lazima atalala
 
Vigezo kwa wanawake vinaenda hivi

1.yuko in her twenties....vigezo zaidi ya kumi

2.tuko in her late twenties vigezo zaidi ya vitano

3.yuko in her thirties....vigezo viwili....

4..yuko in her late thirties....kigezo kimoja tu lol

5.yuko in her early forties.....hakuna kigezo hapo ni kujaribu yeyote atakaejitokeza lol

Mkuu habari........hii nayo ni classic nomenclature ngoja tusubiri wenyewe waje kututhibishia
 
Pamoja na haya makundi pia si unajua hawa ni watu na waweza kuwa wana borrow characters from either groups other than anayo belong ................kuna wanaotaka kuolewa ila wakijitokeza waoaji huanza kujipurukusha na kuanza mapoooozi........

But the way way I have lived my experience hawa miss independent huwa wanakuwa hivyo kwa sababu in real senses wako desperate wanakuwa wameumizwa sana na mwisho wanapata kipato na hapo tu ndo wanakuwa vifaru so ni kama mbogo mjeruhiwa mwisho wa siku atahitaji tu kupumzika na usiku ukifika lazima atalala

Kwahiyo kuwa INDEPENDENT = kuwa DESPERATE?!
I think NOT.

Nnavyojua mimi ni kwamba kwa kiasi.kikubwa wanajua wanachokitaka/hitaji na namna pekee ni kuwa hicho wanachokitaka/hitaji. Hayo mapenzi ya kufunguliana mlango kama fasheni ni ya watoto na watu wazima wanaoact kama watoto, hayo ya kuhadithiwa kwa mashost ni kwa wale waliokosa kazi.
 
Vigezo kwa wanawake vinaenda hivi

1.yuko in her twenties....vigezo zaidi ya kumi

2.tuko in her late twenties vigezo zaidi ya vitano

3.yuko in her thirties....vigezo viwili....

4..yuko in her late thirties....kigezo kimoja tu lol

5.yuko in her early forties.....hakuna kigezo hapo ni kujaribu yeyote atakaejitokeza lol

Kwa kiasi fulani NDIO,kwa kiasi fulani HAPANA. Yote inategemea na namna mtu alivyojiweka kichwani. . .wapo hata waliopo kwenye early 20s ambao ni peleka twende tu. Its all about confidence, mahitaji, matakwa, hali ya maisha n.k
 
Know wat brother hawa the so named independent kipindi cha ujana tulikuwa tunawaita "Miss know it all" wa aina hii ndo easy kuwa nao koz wao kwanza wanamakovu lukuki wanajidai wagumu nje ndani sooooo fragile so ukiwa strategic mwanzo tu baaas anakuwa mtumwa as hawana siri na hawataki kuonekana wanashindwa....atakuweka mbele wewe kama nyota ya jaha kila uchao kutambulishwa kwa mashosti hapo we kazi ku smile na kuongea only when necessary tena kidhungu mbele ya mashosti wake, wakati mnaondoka mfungulie na mlango, akikaa mkiss, mvutie mkanda, hakikisha wenzake wanaona ili wakiwa wenyewe kazi iwe kukuongelea tu!!!!! So baaadaye taratibu unarudi kundini (thug loving) na anakuwa ndege tunduni wako as anakuwa kashatangaza mji mzima kuwa kapata Mr Rite so hawezi tena enda kuanza kusema vinginevyo................................huyooooooo unaburuzaaa taaaaaaani yaaakooooooo BUT YU MUST BE XTREMELY GUD IN THE ART OF LOVE....................

Kama wapo humu na wanabisha wajitokeze KAMA HAYA HAYAJAWAKUTAGA
citation: @Olesaidimu,
kwa kutambua uweledi wako katika kuwajua wanawake,
na kwa kutambua umakini wako katika ku deal nao,
na kwa kuheshimu mchango wako mkuu katika uzi huu,
na kwa kutambua kuwa hoja yako imesimama
basi,
mimi
profesa dokta dokta injinia bishanga abashaija,
nakutunuku digrii ya ufalsafa wa udaktari,
katika fani ya
utambuzi yakinifu wa akili ya mwanamke
imetolewa leo
dar es salaam
 
Merci monsieur....................
 
Merci monsieur....................

Pale juu sikuona kwamba kuna sehemu ya kupinga hoja moja kwa moja. . .
Sasa napinga hoja moja kwa moja. Hayo uliyotaja yote nayaona sio, maswala ya kuongea kimombo kwa mashost wakati hata hao mashost sinao hayana maana, kufunguliwa mlango kama sina mzigo sitaki na hua nasema kabisa. Sipendi maigizo. . .I live in RealVille.

Bishanga haki kwanzia sasa hivi nakuchunia rasmi. Ila kabla ya hapo karibu chai.
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo kuwa INDEPENDENT = kuwa DESPERATE?!
I think NOT.

Nnavyojua mimi ni kwamba kwa kiasi.kikubwa wanajua wanachokitaka/hitaji na namna pekee ni kuwa hicho wanachokitaka/hitaji. Hayo mapenzi ya kufunguliana mlango kama fasheni ni ya watoto na watu wazima wanaoact kama watoto, hayo ya kuhadithiwa kwa mashost ni kwa wale waliokosa kazi.

It is not a one to one function Lizzy......there are con-sociate factors as well and women are conscious beings and they act accordingly.....neither rigid nor monolithic

Bolded; Nakubali na ndio maana nasema ni desperate as they know what they want and the task is how to go get it....mind you huwa wengi ni strong financially.......as a matter of fact huwa wanakuwa na groups zao na sometimes ni mpaka wakupitishe friends ndo waeza hit the bull

Hayo ya kufunguliana milango ndo mawadda na huja in a big consignment labelled care sasa we unachagua yale yanayokufaa na mengine unawaachia wadau......kuna hadi kubebwa mgongoni hapo.....wanaume kubeba handbags achilia kufunguliwa mlango tuu

Kuhadithiana hiyo ndo inaitwa........a healthy and yet lethal gossip.....kama huongelei hii mambo na wenzako we ni mtu ajabu sana.....the isue is how and for what purpose

Am afraid you are too hard on your own self Liizzy are you independent..............jokes
 
Pale juu sikuona kwamba kuna sehemu ya kupinga hoja moja kwa moja. . .
Sasa napinga hoja moja kwa moja. Hayo uliyotaja yote nayaona sio, maswala ya kuongea kimombo kwa mashost wakati hata hao mashost sinao hayana maana, kufunguliwa mlango kama sina mzigo sitaki na hua nasema kabisa. Sipendi maigizo. . .I live in RealVille.

Sasa Lizzy ndo maana nasema hii mambo si ya kukariri ni mambo ya kujua mteja wako anahitaji nini na saa ngapi wewe pia kama mdada unayo unayoyapenda as well labda wewe ni wale wanaopenda kufuliwa ile ndogo ya ndani....kufungwa bra etc etc

Kuna thoery inaitwa Dramaturgy kama sikosei just google........ndo utajua hata hiyo Real life kuna ambao wameeishi tayari.....if i may ask who is your role model
 
It is not a one to one function Lizzy......there are con-sociate factors as well and women are conscious beings and they act accordingly.....neither rigid nor monolithic

Bolded; Nakubali na ndio maana nasema ni desperate as they know what they want and the task is how to go get it....mind you huwa wengi ni strong financially.......as a matter of fact huwa wanakuwa na groups zao na sometimes ni mpaka wakupitishe friends ndo waeza hit the bull

Hayo ya kufunguliana milango ndo mawadda na huja in a big consignment labelled care sasa we unachagua yale yanayokufaa na mengine unawaachia wadau......kuna hadi kubebwa mgongoni hapo.....wanaume kubeba handbags achilia kufunguliwa mlango tuu

Kuhadithiana hiyo ndo inaitwa........a healthy and yet lethal gossip.....kama huongelei hii mambo na wenzako we ni mtu ajabu sana.....the isue is how and for what purpose

Am afraid you are too hard on your own self Liizzy are you independent..............jokes
Hhmm. . .let me take a break.
 
Sasa Lizzy ndo maana nasema hii mambo si ya kukariri ni mambo ya kujua mteja wako anahitaji nini na saa ngapi wewe pia kama mdada unayo unayoyapenda as well labda wewe ni wale wanaopenda kufuliwa ile ndogo ya ndani....kufungwa bra etc etc

Kuna thoery inaitwa Dramaturgy kama sikosei just google........ndo utajua hata hiyo Real life kuna ambao wameeishi tayari.....if i may ask who is your role model

Hahahaha. . basi mimi napenda kuvalishwa na kuvuliwa viatu. . .lolz

Role model? I don't have any. . .
Who is yours?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom