Vigezo vya kupata mkopo bodi ya mkopo elimu ya juu

Chimile

Member
Apr 25, 2012
11
2
Ndugu zangu Watanzania, moja ya kigezo kwa mujibu wa maelekezo ya bodi ya mikopo nikuwa BODI itatoa mikopo kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita 2010-2012....
Jaman vipi sisi watoto wa wakulima tuliomaliza miaka ya nyuma na tunahitaji kuendelea kwa sasa
 
Ndugu zangu Watanzania, moja ya kigezo kwa mujibu wa maelekezo ya bodi ya mikopo nikuwa BODI itatoa mikopo kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita 2010-2012....
Jaman vipi sisi watoto wa wakulima tuliomaliza miaka ya nyuma na tunahitaji kuendelea kwa sasa[/QUOTE
sasa wewe ulikua loan board ungewauliza hukohuko wangekupa jibu la kueleweka
 
Back
Top Bottom