Vigezo vya kuandaa 'Seniority list' katika utumishi

Serikalini hakuna Seniority siku hizi. Mimi niko kazini kwa miaka 25. mshahara wangu ni sawa na aliyeanza kazi 2years ago kwa fani hiyo hiyo. Nimetafuta haki ya seniority utumishi hadi nimekata tamaa nasubiri nitimize 55yrs nistaafu kwa hiari kwa jinsi nilivyoshiba dharau ya vijana. Kulingana nao mshahara. Sijawahi pata incriment for 10years ukiuliza unaambiwa serikali ilishazifuta
 
Back
Top Bottom