vifurushi vya zantel

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,736
2,319
wakuu naombeni msaada kuhusu hili swaala,,,,hivi hakuna ujanja wakufanya laini yoyote ya zantel kuweza kununua vifurushi vyao,,,,maana nilipiga customer caree wakanambia lazima uwe na special namba ambayo iko ktk format 07175 na kama haiwezekani basi hizo special no naweza nizipate wap hapa dar ,,,nipo karriaakooo

karibuni,,,,tusichokane
 
Namba yoyote ya zantel unaweza kutumia,
ila ukitaka vile vifurushi vya HIGH LIFE ndo inataka namba moja yu ya zantel.
 
wakuu naombeni msaada kuhusu hili swaala,,,,hivi hakuna ujanja wakufanya laini yoyote ya zantel kuweza kununua vifurushi vyao,,,,maana nilipiga customer caree wakanambia lazima uwe na special namba ambayo iko ktk format 07175 na kama haiwezekani basi hizo special no naweza nizipate wap hapa dar ,,,nipo karriaakooo

karibuni,,,,tusichokane

wafnykaz wengi wa zantl customer care wako ovyo hawajui offer zao, pia hiyo kampuni mizenguo sana mfano ukiwa unataka kujiunga kifurushi cha buku wanakwambia uweke 1600 kwenye modem yako, kile kifurshi kikiisha hakuna notification yoyote obvious inakula mpaka ile 600 bila ya wewe kujitambua kuwa kile kifurshi cha 1000 kimeisha.. kwa maana nyingine kifurushi cha 1000(kimatangazo)=1600(kialisia)
 
Wapuzi sana mimi ilikula buku kumi nilimind sana nikatupa hata sijui iko wapi, airtel ukiweka kifushi cha mia tano day kwa muda mambo safi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom