Vifo vya watoto hawa 2 vichunguzwe!

It's great to analyze all these circumstances and be critical of the government. However, the more critical issue is, where do we fit in? What have we specifically, as individuals done to condone govt's inaction? How many have thought of volunteering to go to these areas and educate ward leaders, children and general members of our respective societies on how to better their lives, clean neighborhoods, establish playgrounds for children, forming citizen policing (not to be confused by minute-man type of policing) etc?

The great JFK said in his inaugural speech "...ask not what your country can do for you, ask what can you do for your country". Every Tanzanian should take charge of whatever talent they have to improve lives of other Tanzanians. If you're a good writer, then write; if you're a journalist, practice good/responsible journalism; if you're a teacher, God bless you and continue to teach; if you're a good mobilizer, mobilize people to clean their surroundings, take care of their families, etc. Let us do all these things on volunteer basis because we can't wait for money or govt to do so. We've waited for 47 years and little has been done.
 
Mwanakijiji naomba nikushukuru binafsi kuhusu hii topic. Mkuu naomba kijarida cha cheche kinachokuja week ya Xmas, kama utaweza udeal na hili suala la maisha ya watanzania wanaouawa kwa kuiba PERIOD. Sisemi kuwa kuiba kunaruhusiwa lakini jamani tumekuwa wanyama kiasi gani kujustify kutoa roho ya binadamu sababu ameiba simu, pesa bila kutumia silaha?? Mbona hao wananchi wenye hasira hawakufanya kitu juzi Magomeni wakati pesa zinaibwa kwa kutumia silaha???

Mimi nadhani hapa ni suala la vijana hawa maskini kuuawa sababu hawana watetezi. Hivi Waziri Masha ambae ni mwanasheria mbona havalii njuga suala hili??

Nimekuwa nasema kwa miaka sasa, tunafanya dhambi ya ajabu kutokukemea hii genocide ( I know I'm using this term loosely) but to me it is. Poor kids are being killed just by shouting mwizi mwizi, who knows kama ni kweli walikuwa wanaiba. Yaani ukiwa sehemu ukisema mwizi, hiyo imejustify mtu kutolewa roho.

May God Rest Their Souls In Eternal Peace and May Their Blood Be On All Who Have The Power To Stop But Do Nothing Just Because The Targeted Group Is Poor Kids.

Shame on all of Us, all the NGOs and the leaders should see the trajectory where this is leading. They think they are immune but at a later time citizens will kill the same bigshots since in all fairness they are the real thieves. STOP THIS GENOCIDE YESTERDAY< ENOUGH IS ENOUGH.
 
Last edited:
NN,

Usiwe na wasi, kuna watu wanaofurahia posts zako kama Mpanda Merikebu. You may not be a good author but you are a great writer, humorist. I bet some people hated on Mark Twain his day because they couldn't get his humor and great message that it carried. I like how you put serious matter in sarcastic ways that a bunch of ppl don't get it and decide to hate on you.

Usikonde sana bro/sis, si unajua tena sisi ndivyo tulivyo :)

Hey, mimi ni bro....
 
I agree with you Mpanda Merikebu, that we have not done much to educate the masses, but do we really have to go out and deliberately tell people that killing is bad, didn't mom, dad and bibi et al tell us this? do not forget religious authorities and jamii taught us that killing is bad and that death is final.
Let us talk about how to deal with mob justice.

I understand that poverty may be at the root of all this, but we can try.
 
Nitarudia kusema nilichopata kuandika kabla: Tanzania ni taifa la watu waliochanganyikiwa na kukata tamaa, kutoka walio matawi ya juu mpaka kwenye mizizi.

Mauaji ya albino, na haya ya watoto wadogo ni kielelezo cha watu wenye matatizo katika fikra.

Nikiachana kidogo na mauaji haya, nitawaeleza uendeshaji wa shughuli mbali mbali TZ. Nenda kwenye mabenki, na makampuni kama ya simu, na ofisi nyingi nyingine zinazotoa huduma. Kiwango cha kutoa huduma hakifiki asilimia 50. Yaani watoa huduma wachache (mfano katika kaunta sita benki, utakuta mbili au tatu tu zina watoa huduma), huku wateja wamepanga misururu mirefu. Wenye benki yao hawashituki, wateja hawakasiriki, maisha yanaendelea. Haya ndio maisha ya kila leo Tanzania.

Kwa watu wenye akili na fikra zinazofanya kazi sawa, hali hii haiwezi kuvumiliwa kwa muda mrefu. Kwetu inaonekana ni sustainable. Kwa mnaokaa ughaibuni, siku kampuni ikizidiwa sana na wateja, si ajabu kukuta maafisa wa juu wanasaidia pale(idara) palipozidiwa.

Akili za watanzania zimelemaa au kulemazwa mahali fulani. Nina rafiki yangu mmoja(non-east african) aliniambia katika jumuiya ya afrika mashariki ya nchi tano: watanzania ndio bongo lala kati ya nchi zote hizo. Iliniuma, lakini ukweli niliuona.

Wewe unazidi kutuumiza roho. Huko kwenye huduma ndio usisema utalia. Ukitaka usipandishe pressure TZ unapohitaji huduma siku hiyo itoe yote, tena usiwe na wasiwasi. Kila kitu ni previledge. Tuna kazi, sio mchezo. Kuna jamaa anatarajia kurudi nyumbani na hajaenda kama miaka mitano hivi; nimekuwa nampa counselling kabla hajaondoka ili ajaribu kutoa expectations za ajabu na awe as low as possible, vinginevyo ataingia Jumanne anarudi Jumatano!

Sasa hili la mauaji utafikiri kuna mtu anashtuka. Tena ukienda kwenye vijiwe linavyoongelewa ni kama vile mchezo fulani ulitokea. Hao akina Masha wenye dhamana ndio kwanza wanahangaika na akina Mengi, waue biashara zao ili wafanyakazi wapunguzwe na majambazi yaongezeka! Tukiwaambia tuwatoe CCM madarakani mnasema hakuna mwingine wa kumkabidhi nchi, we are simply a disturbingly controversial country and people!
 
Bongo kunakeraaaaa!!

Nina rafiki yangu mmoja(non-east african) aliniambia katika jumuiya ya afrika mashariki ya nchi tano: watanzania ndio bongo lala kati ya nchi zote hizo. Iliniuma, lakini ukweli niliuona.
Wakenya hawakosei niliwaambia mnawaka na hasira....
 
Kama Watanzania kweli wana hasira za kuibiwa basi wawakamate na kuwapiga mpaka kuwaua Majambazi na Mafisadi wa CCM ambao wanaiibia nchi yetu mabilioni na kuathiri maisha ya wananchi wote na hata vizazi vijavyo. Huu ni unyama wa hali ya juu sana kuwaua hao watoto. Jamani tusiishie hapa, tumia muda wako kujaribu kuwaelimisha wananchi wengine kuhusiana na suala la mauaji ya aina hii kwa sababu sidhani wengi kule Bongo wanaona ni makosa. Na pia serikali ikemee hili suala na kuweka mikakati ya kuzuia jambo kama hili lisitokee.
 
Wewe unazidi kutuumiza roho. Huko kwenye huduma ndio usisema utalia. Ukitaka usipandishe pressure TZ unapohitaji huduma siku hiyo itoe yote, tena usiwe na wasiwasi. Kila kitu ni previledge. Tuna kazi, sio mchezo. Kuna jamaa anatarajia kurudi nyumbani na hajaenda kama miaka mitano hivi; nimekuwa nampa counselling kabla hajaondoka ili ajaribu kutoa expectations za ajabu na awe as low as possible, vinginevyo ataingia Jumanne anarudi Jumatano!

Sasa hili la mauaji utafikiri kuna mtu anashtuka. Tena ukienda kwenye vijiwe linavyoongelewa ni kama vile mchezo fulani ulitokea. Hao akina Masha wenye dhamana ndio kwanza wanahangaika na akina Mengi, waue biashara zao ili wafanyakazi wapunguzwe na majambazi yaongezeka! Tukiwaambia tuwatoe CCM madarakani mnasema hakuna mwingine wa kumkabidhi nchi, we are simply a disturbingly controversial country and people!

Kitila, nasema hivi, sisi Miafrika ni ndivyo tulivyo! Narudia tena, sisi Miafrika ni ndivyo tulivyo. Nitukaneni, nikasirikieni, fanyeni mnalotaka kunifanyia, uzuri wa ukweli ni kuwa ukweli hubaki kuwa ni ukweli hata iweje.

Haya ya kujichukulia sheria mkononi na kutoa roho za watu kisa wameiba hayajaanza leo. Tokea niko darasa la kwanza nilipoanza kujua kusoma na kuandika nimekuwa nikiyasoma na nimeyashuhudia mimi mwenyewe yakitokea. Usiombee mtaani mtu apige kelele za wewe mwizi! Kitakachofuatia nadhani unakijua.

Nina uhakika kabisa, kulingana na simulizi za wakubwa zangu kuwa haya ya kujichukulia sheria mkononi yamekuwepo kabla ya hata mimi kuzaliwa (I'm a seventies baby, by the way). Miaka yote hii hakuna la maana lilifanyika kukabiliana na unyama huu, why? Yaani hivi sasa tumekuwa desensitized mpaka tunaona kuwa ni kawaida ukikamatwa unaiba wewe ni kibano mpaka ufe. Ustaarabu wetu sisi kama jamii uko wapi? Tukiambiwa wazungu walikuja kutustaarabisha tunang'aka na kuwa wakali kwa wakati huo huo tunafanya mambo yasiyo ya kistaarabu.

Man, I've had it up to here. We are a joke, beyond a joke when it comes to the rule of law. Hivi wakati wa mkoloni yalikuwepo kweli haya? Nyie vidingi humu ndani hebu tuambieni?

I really don't care what y'all think of me. None of you know me like that anyway. To hell with political correctness. Miafrika Ndivyo Tulivyo. Deal with it
 
Yawezekana sisi ni miongoni mwa watu wa ajabu zaidi duniani; Kuna kitabu fulani nilikisoma kinachapwa na wale "Onion News" people.. ukikipata angalia wanasema nini kuhusu Tanzania..

Kabla sijakitafuta naungana na comment yako wa TZ ni watu wa ajabu.Tunahitaji wataalamu wa saikolojia kutufanyia utafiti.May be we are missing gene fulanifulani.
 
Nyani Ngabu said:
Hivi wakati wa mkoloni yalikuwepo kweli haya? Nyie vidingi humu ndani hebu tuambieni?

Nyani-Ngabu,

..mimi sio kidingi niliyeishi wakati wa mkoloni. lakini simulizi za wazazi wangu ni kwamba askari wa mkoloni alikuwa mkatili kwelikweli.

..askari hao hawakufundishwa kutumia akili zao, bali nguvu na mabavu. kwasababu hiyo mkoloni alikuwa aki-recruit toka yale maeneo ya Tanganyika ambayo wenyeji walikuwa na miili mikubwa-mikubwa.

NB:

..mob justice ni tatizo. wizi na ujambazi ni tatizo kubwa zaidi.

..hivi hata hapa jamii forums hamuoni kwamba kuna tendencies za mob-justice?
 
Tunabishania vitu visivyo na msingi, tunapingana kwa mambo ya kitoto, na tunabakia kushutumiana kwa visivyo na umaana. Vile vya msingi tunaviacha kimya; hakuna mwenye hasira, hakuna anayekerwa; na wale waliokuwa na haraka ya kuzungumza kwenye mambo yasiyo na msingi wako kimya!

Tuna tatizo Watanzania; Tuna tatizo kubwa.. hebu angalieni yaliyotokea Ugiriki na usome hiki cha Tanzania!! Maalbino na sasa watoto wadogo!!

Umma waua watoto wa shule kwa mawe

2008-12-10 16:16:56
Na Godfrey Monyo

Aliyeandika hivi ni yule ambaye anakaa na kufikiria nchi yake, anakaa na anaenda mbali zaidi na kuangalia watu wa nchi yake,haishii hapo anaangalia kila kona kila sekta,bila unafiki, na hatimaye anatoa comment ambayo haipendelei upande wowote , ila inalenga kumuamsha kila mmoja, na kujiuliza hivi tumerogwa na nani??

Hivi tumerogwa na nani?

Mbunge fisadi anakuja na shangingi tuna mpigia makofi na kuwatandikia mazuria mekundu, ndgu zetu wanakufa wanahangaika, kwa sababu wamechoka, maskini wana haira wako radhi wapige kelele za mwizi kwa kila mtu ili mradi hasira zenu ziiishe!

Hivi nani aliyeturoga , alienda kwa mganga gani? wakati nashuhudia maelfu ya wamarekani wakipiga kura na kuonyesha wanajali mambo ya siasa na hatima ya taifa lao, sisi hakuna mwenye mpango huo! wachache sana! wengi wanajitkeza wakisikia komba anaimba au juma nature anapakua ugali, wengi wanjitokeza wakisikia hadija kopa anawapasha watu, hwatuwazi sera, hatuulizi maswali, hatusemi mbona nyie mmekaa miaka 47 sasa hatuoni lolote? hivi nani ameturoga??

Nilisema na bado ninasema, waliotufikisha hapa ni hawa CCM, raia wazembe, wasomi vyuoni, na kila mmoja kwa nafasi yake, inapofika kuanza kuonyesha hasira , jamani wabaya ni hao, nani alimchagua Kikwete, nani alimchagua masha, nani anafikiri kuwa chama kingine kitaingia madarakani 2010, ukitaka kuamini kuwa tumerogwa na aliyeturoga yuko mwezini au sayari ya jirani,utaamini siku hiyo, usishangae Yona na Mramba wakichomoka kwenye soo lao , na bado wakawa wabunge tena, hauamini?? subiri?

Hili ni janga la kitaifa, tumedharaulika mpaka nje ya nchi yetu, kuwa mzungu anakuja na sh. 10 anaondoka milionea, nani katuroga,

Tumekosea wapi? turudi kwenye dini za mababu zetu, mbona hata wafalme na machifu na watawala wa kale wanaonekana IQ yao ilikuwa juu zaidi, ebu muone mkwawa, miaka ya sasa nani katuroga???

Inawezekana kukomesha mauaji haya, nasema inawezekana, serikali ikiamua, ikishirikisha wadau INAWEZEKANA, KUNA TATIZO SEHEMU HATA MIMI NAONA

MOJA WAPO NADHANI, NI JAMII IMEKATA TAMAA, JAMII POFU, ISIYOANGALIA CHANZO CHA TATIZO NA KUUNGANA, WANAANGALIA MATOKEO YA TATIZO

usishangae aliyeua siye aliyeibiwa!!!!!!!!!!!!!!
waberoya
 
I agree no excuse for the killings.

Yawezekana sisi ni miongoni mwa watu wa ajabu zaidi duniani; Kuna kitabu fulani nilikisoma kinachapwa na wale "Onion News" people.. ukikipata angalia wanasema nini kuhusu Tanzania..

Mkuu sasa kama wanavyosema wenyewe, umekuwa "onioned"
 
Nyani-Ngabu,

..mimi sio kidingi niliyeishi wakati wa mkoloni. lakini simulizi za wazazi wangu ni kwamba askari wa mkoloni alikuwa mkatili kwelikweli.

..askari hao hawakufundishwa kutumia akili zao, bali nguvu na mabavu. kwasababu hiyo mkoloni alikuwa aki-recruit toka yale maeneo ya Tanganyika ambayo wenyeji walikuwa na miili mikubwa-mikubwa.

NB:

..mob justice ni tatizo. wizi na ujambazi ni tatizo kubwa zaidi.

..hivi hata hapa jamii forums hamuoni kwamba kuna tendencies za mob-justice?

...wakati mwingine una act kama kidingi....lol
 
It's great to analyze all these circumstances and be critical of the government. However, the more critical issue is, where do we fit in? What have we specifically, as individuals done to condone govt's inaction? How many have thought of volunteering to go to these areas and educate ward leaders, children and general members of our respective societies on how to better their lives, clean neighborhoods, establish playgrounds for children, forming citizen policing (not to be confused by minute-man type of policing) etc?

The great JFK said in his inaugural speech "...ask not what your country can do for you, ask what can you do for your country". Every Tanzanian should take charge of whatever talent they have to improve lives of other Tanzanians. If you're a good writer, then write; if you're a journalist, practice good/responsible journalism; if you're a teacher, God bless you and continue to teach; if you're a good mobilizer, mobilize people to clean their surroundings, take care of their families, etc. Let us do all these things on volunteer basis because we can't wait for money or govt to do so. We've waited for 47 years and little has been done.

We are playing our part mkuu. Teachers are teaching but their employer, the Government, is not paying them. Farmers are producing but they have no were to sell their produce because their government can't help; it is instead busy helping mining companies to get better deals. Writers are writing (don't you read MKJJ's pieces) but those ones who are supposed to read them in the government are not reading, leave alone remedying what the writers are pointing out. Journalists are doing their job but the government is banning or at least threatening to ban their outlets.

In short, everybody is playing their role except this hopeless government. Don't you follow the events in the country? What do you think the wananchi can do to stop the day light killing of innocent wananchi if their government has failed? Are you not worried that 47 years of independence this government can't even protect the lives of its citizens, which is a basic function of any sensible government-and you are giving us JFK's quotation!! Do you want every citizen to protect himself/herself? Are you advocating lawlessness? Don't you understand that it is the government which is supposed to enforce the law?

Next time you bring a quotation, especially great quotations such as JKF's, try to put it in a proper context.
 
Sielewi nini lengo la mwandishi kutumia kichwa cha habari "watoto wa shule" baada ya wezi au vibaka. Inaonekana kama anataka kutumia shule ya msingi kama defence kwa wezi hao. Mwizi ni mwizi tu, hao ambao wameiba mabilioni kama wanavyosema members wengine, nafasi ikipatikana sheria ya kundi itafuata mkondo wake, kama sheria ya mahakamani itabanangwa na kuchezewa kuna uwezekano watu waka-act.
 
hakuna udhuru wa kuwaua watoto wa miaka 14/16 kwa mawe. None whatsoever. Hakuna kuongezeka kwa matukio ya wizi kunakoweza, paswa, au fafanua mauaji haya ambayo ni zaidi ya kinyama; kama kuna matatizo kwenye jamii ni sisi watu wazima we have to deal with!

Mkjj, si watoto tu, bali hata wezi watu wazima hawapashwi kuuwawa vile!!!!

Cha msingi hapa, ni kuwa jamii imepoteza hadhi ya utu!!! Watoto kujiingiza katika matendo ya unyang'anyi/wizi ni ushahidi kuwa wazazi/jamii imeshindwa kutimiza wajibu wa kutoa malezi bora kwa vijana. Sishangai kuona watu wazima wakipiga vitofa watoto eti tu kwakuwa ni waivi!!!!!
 
We are playing our part mkuu. Teachers are teaching but their employer, the Government, is not paying them. Farmers are producing but they have no were to sell their produce because their government can't help; it is instead busy helping mining companies to get better deals. Writers are writing (don't you read MKJJ's pieces) but those ones who are supposed to read them in the government are not reading, leave alone remedying what the writers are pointing out. Journalists are doing their job but the government is banning or at least threatening to ban their outlets.

In short, everybody is playing their role except this hopeless government. Don't you follow the events in the country? What do you think the wananchi can do to stop the day light killing of innocent wananchi if their government has failed? Are you not worried that 47 years of independence this government can't even protect the lives of its citizens, which is a basic function of any sensible government-and you are giving us JFK's quotation!! Do you want every citizen to protect himself/herself? Are you advocating lawlessness? Don't you understand that it is the government which is supposed to enforce the law?

Next time you bring a quotation, especially great quotations such as JKF's, try to put it in a proper context.

Sha Mkumbo,

Songela gwa mzee kwa ushauri wa busara. I read what Mwanakijiji writes, I am very aware of what some politicians are doing to condemn our govt and I have a great deal of respect and appreciation for others like teachers who work in great hardships along with doctors, police, etc. I was trying to address others who think just because they can't write in a newspaper or because they can't hold a chalk or be comfortable speaking in public then they can just sit down and watch others do. In other words, there are people who give their best to our society, however, there is a lot more who do nothing.

To put it in perspective, we know how road conditions are extremely poor in a place, let's say Msasani area near Slip Way. From the type of homes that sit in those neighborhoods its fair to assume that majority of the residents are affluent. What disappoints me is the fact that there is little or no effort from these residents to get their acts together and combine their resources to improve the roads. This is the kind of volunteerism that I'm talking about...the one that does not have cash as an incentive to do something.

Or, let's look at how many years it took to have electricity from the national grid brought to Kiomboi. There are a lot of Nyirambas who are well educated, have influence, resources, etc but they waited until mid-90s to get electricity.

Mayu, I am worried about my country and specifically when the govt has failed to be responsible. When I quoted JFK I did so in the context of having community-based projects that will improve our neighborhoods and not as a warranty for citizens to take matters in their own hands. I do not propose anarchy. What I'm proposing is for citizens to take charge of social issues that the government cannot provide. If you read my earlier comments I think you will understand my position better.

Hopefully in this same spirit we will be able to bring water to all villages in Iramba district with the help of the govt and our MPs.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom