Vifo vya viongozi wa kenya kuelekea uchaguzi 2013 vinatufunza nini?

OBWERE

Member
Jan 14, 2011
46
8
kama mfuatiliaji wa karibu wa siasa za kenya utagundua kuelekea uchaguzi mkuu 2013 vifo vya viongoz vinaongezeka.nijikite kwa hawa wachache ,prof saitoti,njega karume na john michuki.ukiangalia kwa umakini hao wote walikuwa marafiki wa karibu sana wa rais mwaikibaki ambao inaaminika kuwa wao ndo masterminder wa vurugu za post election 2008.kwa kuwa wao ndo maishahid wa karibu waliokuwa wanategemewa, na ambao wanajua mchezo wote yaonekana ili kumweka mwaikibaki katika hali nzuri baada ya uchaguzi imelazimika wapoteze maisha ili yeye awaeze kuwa shwari na kumweka uhuru kenyata katika mikono salama.Je kwa mtiririko huu inatufundisha nn sisi watanzaia
 
Inatufundisha kuwa afadhali ya sie tunaopeana sumu mpaka ngozi zikapukutika unga na kupangiana viajali vya magari! Kule wako serious zaidi.
 
kama mfuatiliaji wa karibu wa siasa za kenya utagundua kuelekea uchaguzi mkuu 2013 vifo vya viongoz vinaongezeka.nijikite kwa hawa wachache ,prof saitoti,njega karume na john michuki.ukiangalia kwa umakini hao wote walikuwa marafiki wa karibu sana wa rais mwaikibaki ambao inaaminika kuwa wao ndo masterminder wa vurugu za post election 2008.kwa kuwa wao ndo maishahid wa karibu waliokuwa wanategemewa, na ambao wanajua mchezo wote yaonekana ili kumweka mwaikibaki katika hali nzuri baada ya uchaguzi imelazimika wapoteze maisha ili yeye awaeze kuwa shwari na kumweka uhuru kenyata katika mikono salama.je kwa mtiririko huu inatufundisha nn sisi watanzaia

toa huu uchafu peleka jukwaa la wageni
 
Back
Top Bottom