gobore
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 715
- 352
Mapambano yanaanza pale askari wanapoingia anga ya Sudan. Hivyo muda wote wanapokuwa Sudan wako katika mapambano.
Battle-mapambano
Action-?????
Mision-Overall task
Killed in battle/Killed in action nadhani ndo alichomanisha mkuu JokaKuu na sio kufa tu afta wameingia airspace ya Sudan
Niambie mjeshi akifa kwa malaria Darful atakua kafa mapambanoni? Lets say accidental discharge ya fiream yake mwenyewe inakua KIA hiyo?
Mimi napinga labda unieleze zaidi
Last edited by a moderator: