Vifo vya Comoro na Darfur: Hivi JWTZ wanafundishwa kuogelea??

Unajua kwenye lile gari kulikuwa na askari wangapi? unajua ni wangapi walio ruka na kuogelea na kutoka salama?

I thought this is a thread to provoke thoughts from great thinkers and not specifically targeting the darful incident alone.
 
I thought this is a thread to provoke thoughts from great thinkers and not specifically targeting the darful incident alone.

Ndahani,

..thank u.

..mimi nimeshangaa kwanini yeye , Sabayi, asitueleze hilo gari lilikuwa na askari wangapi, na kwanini wengine waliweza kuogolea na kutoka salama, na wengine kuzama.
 
Last edited by a moderator:
I thought this is a thread to provoke thoughts from great thinkers and not specifically targeting the darful incident alone.

Ndio maana Great thinkers wengi walishakimbia humu, ila hivyo hivyo taratibu tunajaribu kufundishana humu mkuu Ndahani pamoja

Back to the topic JokaKuu

Kuna Mchangiaji mmoja amejaribu kusema kuwa tusitegemee kina Rambo katika jeshi letu eti kwakua hatufanyi investment ya kutosha kwakua si kipaumbele! Ni vipi unaweza kusema Ulinzi si kipaumbele katika dunia hii ya sasa? Na ugunduzi wa gesi na mafuta yote?

..........Just for the records jeshi liko kwenye mpango wa 15 years wa kuMordernise na wanawezeshwa kwa kila hali, hata huku kuanza kushiriki upya kwenye kulinda amani ni sehem ya mpango huo
 
gobore, Ndahani,

..kuna umuhimu wa kuliwezesha jeshi letu kuwa combat ready all the time.

..zaidi jeshi letu liwe modernised kuweza kuwa active hata katika kushughulika na MAAFA na AJALI.

..lingine ni kuhakikisha jeshi letu linakuwa chombo cha UTAFITI na UZALISHAJI.

..kwa mfano kuna miradi mingi ya barabara na madaraja sioni kwanini jeshi letu halina kikosi kinachoweza kushika baadhi ya contracts. hapa tunatakiwa tuwe na a highly trained ARMY ENGINEERING CORPS.
 
I thought we also need a rapid response unit when it comes to natural disastors and accidents. na hii iende beyond maji maana ni kweli jeshi ndio linaweza kutengeneza watu wenye uwezo wa kufanya kazi kwa haraka na kwa nidhamu ya hali ya juu.
what troubles me ni kuwa wale wanaokwenda darful, in my imaginations are the top cream...wanaopasua matofali kwa vichwa. Their training includes a range of skills....swimming sio tu ni basic ila ni necessary maana hata kama ni nchi kavu asiyejua kuogelea kwenye mito inakuwaje?
 
JokaKuu, nakubaliana kabisa na wewe. kuna project of national interest ambazo leo tunawapa watu wa nje wafanye bila our involvement. hatuwezi kujenga daraja kama kigamboni kwa asilimia 100% bila kuwalazimisha wajenzi kuwa na local partnership and yet sisi ndio tuna finance. hata mradi kama Mchuchuma, ingekuwa vema kuwe na interest za nchi in partnership with whoever does it. Kwasababu tukifanya hivyo ndio njia pekee ya kulearn what we do not know or we lack skills....Jeshi could be vital in taking part in the projects that are of national interest. Angalizo: Tusitengeneze meremeta nyingine tu
 
Ndahani
I agree that this thread should provoke great thoughts
Kwa muundo na mfumo wa mafunzo wa jeshi letu sasa hivi ni ngumu wanajeshi wote kujua kuogelea inabidi kubadilisha kabisa mfumo wa mafunzo na bado nakubaliana na wanaosema kuwa inawezekana kujua kuogelea na bado ukafa maji.
Muundo na mfumo wa mafunzo wa jeshi letu ni wa kizamani hauendani na dunia ya leo yenye majeshi ya kisasa yenye technolojia ya hali ya juu lakini hatuwezi kubeza juhudi,ukakamavu,uzalendo na kujitolea kwa hali ya juu kwa wanajeshi wetu wanaofanya kazi katika mazingira magumu na kwa technolojia duni.
 
Sabayi Ndahani gobore,

..hayo yote mliyoyasema yanawezekana na yanatakiwa kufanyiwa kazi.

..hata pendekezo la a rapid response rescue team tunapaswa kuwa nayo tena inatakiwa iwe stationed strategically.

..kwa mfano inasemekana Chumbe ni kisiwa, sasa hapo pangekuwepo na ka detach kadogo ka jeshi wangeweza kuchomoka tu na kwenda kuokoa abiria waliozama na meli.

..kuna ajali nyingine kama za treni zimepata kutokea, au hata majengo kuporomoka, na mafuriko.

..by the way, niliona askari wetu waki-deal na mafuriko kwa hiyo NAWAPONGEZA kwa hilo.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu Jokakuu Ninachosisitiza mimi ni kuwa jeshi lina watu mbali mbali, na hatuwezi kuwa na jeshi la wataalamu wa kuogelea pekee! Wanajifunza vitu mbalimbali hadi kubobea ila vile vya msingi kama Survivor skills sijui, Driving, kuogelea,mechanics, matumizizi ya silaha wanajifunza wote! Hii ina masna gani basi? Pale ambapo itahitajika ujuzi huo utatumika lakini inapokua extreme ni wazi kuna ambao watashindwa ila kuna ambao wameSpesholaizi hatutegemei washindwe Kule Darfur harukupeleka Naval specialists pekee kwahiyo inawezekana waliokufa walijua kuogelea lakini ni ile basic course! Unanielewa? Ukisema hawakua na mafunzo ya kutosha swali ni mafunzo gani? Inawezekana kabisa kati ya waliokufa kulikua na "explosive specialist" aliyebobea! Maana yake ni kuwa muda wote wa maisha yake yeye amekua anajifunza milipuko sio mambo ya "amphibious training", kwahiyo usidharau kuwa hawakua na mafunzo au vifaa! Ile ilitoke ajali tena wakati wanavuka mto! Darfur ni jangwa kule! Threats ni zipi? Je wangebeba boti kwenye Deraya ili wakati wa kuvuka watumie boti? Ile ni bahati mbaya jeshini ni kama inabyotokeaga kwenye friendly fire Swali ni je vipi kuhusu Comoro?
Chifu, nimemsoma mtu mmoja humu akisema walioenda Darfur walikuwa ni makomando. Kama ni kweli, basi komando anapaswa awe fit kwenye kila sekta - kuogelea, physical combat, mechanics, matumizi ya silaha ya kila aina n.k. Hapo ndipo wasiwasi wa Jokakuu unaleta maana.
 
Ndahani
I agree that this thread should provoke great thoughts
Kwa muundo na mfumo wa mafunzo wa jeshi letu sasa hivi ni ngumu wanajeshi wote kujua kuogelea inabidi kubadilisha kabisa mfumo wa mafunzo na bado nakubaliana na wanaosema kuwa inawezekana kujua kuogelea na bado ukafa maji.
Muundo na mfumo wa mafunzo wa jeshi letu ni wa kizamani hauendani na dunia ya leo yenye majeshi ya kisasa yenye technolojia ya hali ya juu lakini hatuwezi kubeza juhudi,ukakamavu,uzalendo na kujitolea kwa hali ya juu kwa wanajeshi wetu wanaofanya kazi katika mazingira magumu na kwa technolojia duni.

Sabayi,
kamwe hakuna anaye question uzalendo, juhudi na uaminifu wao wa kulitumikia jeshi kwenye mazingira magumu sana. Haya majadiliano hayana maana wala sababu ya kuwalaumu wanajeshi ambao wako katika kutimiza wajibu wao kwa kutii amri walizoapa kuzitii. Isipokuwa lazima wasaidiwe ili haya yanayotokea yasiendelee kutokea mara kwa mara kwasababu ambazo zinaweza kuzuilika.
 
Last edited by a moderator:
Guys my biggest concern ni Comoro ambapo tulienda kwenye mission iliyohusisha sana maji na tukapoteza askari kwenye mazoezi tu kwa kutokujua kuogelea ila Darful nadhani ipaswa kuichukulia kama ajali tu
 
Nyenyere,

..askari watatu wamekufa maji, sasa tunapouliza how and why, unataka tuangalie ramani??

..unless unaleta madai mapya kwamba vijana wetu walipoteza maisha yao mahali pengine na siyo kwenye MTO.

..YES, kuna mito Darfur and I dont need to consult a map to know that.

..hivi askari wetu kupewa mafunzo ya kuogelea na kunahitaji ongezeko kiasi gani la bajeti zaidi ya hii tuliyonayo sasa hivi??

..kilipotokea kifo cha Comoro baadhi yetu tulihoji lakini tukapuuzwa. sasa limetokea janga lingine Darfur tunataka maelezo nini kilitokea na hatua gani zimechukuliwa.

..haiwezekani vijana wetu wajitolee maisha yao kutulinda sisi, halafu tunachakachua mafunzo yao.

NB:

..kama askari wenyewe wanashindwa kuokoana[mfano Comoro] ktk maji, vipi ikitokea ni wananchi ndiyo tunahitaji msaada??

You may have a point lakini ni kuwa hujui unachokisema. Hivi unafikiri ku-train a soldier kuogelea ni kumwambia nenda kajitupe baharini? NO thank you. Package ya kuruta ni fully packed kiasi kwamba utahitaji kuongeza muda wa mafunzo kwa ajili tu ya basic swimming skills. Baada ya kuruta askari wote hutawanywa vikosini. Hivi unaelewa dispersion ya vikosi vyetu? Au unadhani vyote viko Dar Es Salaam? Kama kuogelea ndio unakokuona ni uaskari zaidi kwa nini basi usipiganie askari wa Navy ndio wapelekwe Darfur? Kesho utasikia kuna askari wamefariki kwa ajali ya chopper, utaanzisha mada nyingine kutaka kujua ni kwa nini askari hawafundishwi parachute. Wakipinduka utahoji ni kwa nini hawajifunzi kuruka kwenye magari! Hivi unajua kwamba ili nchi iruhusiwe kupeleka askari kwenye mission za UN ni lazima itimize vigezo fulani ikiwamo aina na kiwango cha mafunzo? Je, kuogelea ni sehemu ya hitaji la askari ili akatumike Darfur? Ingawa mambo yote yanaathiriwa na siasa, si kila kitu ni siasa.
 
Nyenyere
I hope umemaliza yote hapo I agree with you 1000% we can't have an army of swimmers nasisitiza tuchukulie vifo vya askari wetu Darful kama ajali please!!!!!!!!!!!!! Lakini vilevile nakubaliana na naunga mkono kutazama upya mfumo wa mafunzo wa recruits wa askari wetu nadhani kujua kuogelea hata kwenye maisha ya kawaida ni jambo muhimu kama mfumo wetu wa mafunzo unaweza kuaccomodate hii kitu then it's a plus lakini sio kitu cha downgrade quality ya jeshi letu hivi vifo vingetokea kwenye nchi missions ambazo tangu mwanzo JWTZ walijua itahusisha maji kama kule Comoro basi hapo ndo tungekuwa na wasiwasi sio hii ya Jangwani Darful halafu mnataka TZ ipeleke Wapigambizi tha'ts unfair guys
 
gobore, Ndahani,

..kuna umuhimu wa kuliwezesha jeshi letu kuwa combat ready all the time.

..zaidi jeshi letu liwe modernised kuweza kuwa active hata katika kushughulika na MAAFA na AJALI.

..lingine ni kuhakikisha jeshi letu linakuwa chombo cha UTAFITI na UZALISHAJI.

..kwa mfano kuna miradi mingi ya barabara na madaraja sioni kwanini jeshi letu halina kikosi kinachoweza kushika baadhi ya contracts. hapa tunatakiwa tuwe na a highly trained ARMY ENGINEERING CORPS.

Give them a decent budget, then you demand results! No useless talks. It is either military or kilimo kwanza.
 
Hawajui kuogelea! Sasa huko ziwa nyasa si watakwisha wote

Kikwete alikuwa ni mwanajeshi anawajua wenzake na ndio maana hataki na kakataa kuwapeleka wenzake vitani manake anajua wakienda watagida mimaji hado wafe wote kwa uzembe
 
Ndahani,

..thank u.

..mimi nimeshangaa kwanini yeye , Sabayi, asitueleze hilo gari lilikuwa na askari wangapi, na kwanini wengine waliweza kuogolea na kutoka salama, na wengine kuzama.

Inapotokea gari lolote lenye watu ndani limesombwa na maji ghafla, hata wanaojua kuogelea kama wako ndani wanaweza wasiweze kujiokoa kwa kutegemea ujuzi wao huo wa kuogelea kwa sababu huenda wasiweze kupenya kutoka nje au wakatoka wamejeruhiwa wasiweze kuogelea.

Vivyo hivyo kwa gari la kivita ambapo pengine dreva au crew mwingine anabidi aingie na kujiweka katika nafasi yake kwa kufuata utaratibu fulani kutokana na mpangilio wa vifaa na zana ndani ya gari - pengine si rahisi kurukia kwenye kiti na kuruka kutoka kwenye kiti. Hii ndio sababu tumeelezwa wapo walioweza kujiokoa na wengine wakanasa ndani ya gari au wakatoka wakiwa wameumia kiasi cha kushindwa kuogelea.

Hivyo kwa vifo vya Dafur, kujua au kutokujua kuogelea kunaweza kusiwe ni ishu.
 
Nyenyere
I hope umemaliza yote hapo I agree with you 1000% we can't have an army of swimmers nasisitiza tuchukulie vifo vya askari wetu Darful kama ajali please!!!!!!!!!!!!! Lakini vilevile nakubaliana na naunga mkono kutazama upya mfumo wa mafunzo wa recruits wa askari wetu nadhani kujua kuogelea hata kwenye maisha ya kawaida ni jambo muhimu kama mfumo wetu wa mafunzo unaweza kuaccomodate hii kitu then it's a plus lakini sio kitu cha downgrade quality ya jeshi letu hivi vifo vingetokea kwenye nchi missions ambazo tangu mwanzo JWTZ walijua itahusisha maji kama kule Comoro basi hapo ndo tungekuwa na wasiwasi sio hii ya Jangwani Darful halafu mnataka TZ ipeleke Wapigambizi tha'ts unfair guys

Kwa hiyo unatetea mwanajeshi kutokujua kuogelea? Kwani mwanajeshi anatakiwa ajue nini?
 
I thought we also need a rapid response unit when it comes to natural disastors and accidents. na hii iende beyond maji maana ni kweli jeshi ndio linaweza kutengeneza watu wenye uwezo wa kufanya kazi kwa haraka na kwa nidhamu ya hali ya juu.
what troubles me ni kuwa wale wanaokwenda darful, in my imaginations are the top cream...wanaopasua matofali kwa vichwa. Their training includes a range of skills....swimming sio tu ni basic ila ni necessary maana hata kama ni nchi kavu asiyejua kuogelea kwenye mito inakuwaje?

Mpaka hapo Nimeamua kwamba huna lolote ulijualo kuhusu majeshi. Wewe ni vuvuzela tu kama baadhi ya wanasiasa. Ila just to warn you, Kikosi sha Tz huku Darfur ndicho kinachoheshimika kwa kuwa highly trained na very professional katika majukumu yao. Every UN staff wishes they had Tanzanians around them. Nabii hakubaliki... Nawaacha na uvuvuzela wenu na huo utumwa wa kudharau kwenu. Careless talks!

0023ae73cfef0e3f4ba702.JPG

Hebu tazama askari hawa ya China wakifanya tendo ambalo mbele ya "wataalam wa vita" wa JF ni upuuzi wa hali ya juu!
 
Give them a decent budget, then you demand results! No useless talks. It is either military or kilimo kwanza.

Nyenyere, ungeweka msisitizo kwenye kupewa budget inayoendana na malengo ya kujiboresha kwenye hiyo miaka 15 ya baadae hoja ingekuwa nzito zaidi. Kusema ni useless talks, nafikiri sio sahihi...tuongee nini sasa! jeshi likisahauliwa atakayeaibika siku ya siku ni nani? Sisi sote...
 
Back
Top Bottom