Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
- Thread starter
- #101
Sorry mkuu grammer tu... "awajibike"
thank you; Dr. Ramadhani Dau awajibike.
Sorry mkuu grammer tu... "awajibike"
Umeulizwa swali kwa nini Dr. Ramadhani Dua na si DG wa NSSF?
kukusahihisha tu anaitwa Dr. Ramadhan Dau siyo Dua.
It is about the the kids who died in tabora kwenye ukumbi wa disko ulioko kwenye jengo la NSSF taasisi ambayo inaongozwa na dr. Dau. Miaka ya hivi karibuni taasisi hiyo imekuwa ikianzisha miradi mingi ya ujezi wa majengo ya kisasa kwa ajili ya raslimali. Na imekuwa ikikodisha majengo yake kwa shughuli mbalimbali. Hata hivyo jengo hili ambalo watoto hawa wamefia lilikuwa ni kwa ajili ya shughuli za ofisi; NSSF hawakulijenga kwa ajili ya ukumbbi wa muziki. Ndio maana nimesema kuwa Dr. Ramadhani Dau awajibike. Natumaini nimekurudisha kwenye mstari.
Hili linahusu watoto 19 wa Kitanzania waliokufa kwenye jengo la NSSF ambalo sehemu yake walikodisha kwa wafanyabiashara ambao wamelitumia kama ukumbi wa disko. Wao NSSF walilijenga kwa shughuli za ofisi lakini kutokana na tamaa ya fedha na uwekezaji wakakubali litumike kama ukumbi wa disko. Hii NSSF inaongozwa na Dr. Ramadhani Dau na hivyo the buck on the end stops with Dr. Dau.
ndio maana nimesema awajibike.
thank you; Dr. Ramadhani Dau awajibike.
kukusahihisha tu anaitwa Dr. Ramadhan Dau siyo Dua.
Na sisi kama expert members ngoja tunogeshe hoja,japo ninapinga wale wanaoattack watu moja kwa moja badala ya hoja.Kisheria issue ya maana hapa ni wapi kwa kulaza blameworthiness,haijalishi iwapo nssf ni wamiliki au la?
maswali ya msingi ni je?
1.Vifo vimetokea katika eneo linalomilikiwa na nani?
2.Je,wakati vifo vinatokea nani alikuwa na diect control ya hilo jengo?
3.Je,vifo vilitokana na kukosa hewa kulikosababishwa na kufail kwa miundo mbinu ya jengo au sababu nyingine?
4.kama hilo juu sio jawabu je?vifo hivyo vinaweza kuwa vimetokana na hitilafu ndani ya jengo ikiwemo jengo kudondoka au kifaa chochote ndani ya jengo hilo ikiwemo hitilafu ya umeme?
4.Kama sio je,vilitokea kwa sababu ya mkanyagano kama ilivyoripotiwa?kama jibu ni ndiyo
5.Je,mkanyagano huo ulisababishwa na nini?(kuna kitu kiliwashtua watoto hao?humo ndani ama tu ni kwa sababu ya kugombaniana oxygen ndogo iliyokuwamo humo ndani?
6.Je,ni hatua zipi za haraka zilizochukuliwa na wahusika baaada ya kuona watoto wamezidiwa au watoto wamewazidi nguvu na hivyo ukumbi kuchukua idadi kubwa ya watu zaidi ya uwezo wao?
Hoja hizi na nyingine ziakazoboreshwa hapa ndizo zitakazosaidia kuifanya nssf responsible au mwendesha ukumbi yaani mpangaji.Hata hivyo at a glance line yangu ya argument inanifanya niende upande wa ocupiers liability act,ambayo pia hapa Tanzania tunayo.Kwa mujibu wa sheria hii occupier sio lazima awe mmiliki,hata mpangaji tu anaweza kuwa occupier,kwa maana hiyo karata yangu ya kwanza kabisa naitupa kwa occupier kabla ya kwenda kwa mmiliki,nikimkosa occupier the secod premise naenda kwa owner(proprietor).Kwa maana hiyo basi na kwa faida ya JF ndio maana nimeamua kutoa hii piece of knowledge kuhusu my lie of argument ili kila mtu anielewe kwanini nachukua that line of argument.
THE LAW ON OCCUPIER'S LIABILITY
The liability to visitors is covered by the Occupiers' Liability Act 1957 and the Occupiers' Liability Act 1984.
The 1957 Act deals with lawful visitors and the 1984 Act deals with trespassers.
The occupier means the person in control of the land, building, premises, shop, warehouse, car park etc – in fact, the 1957 Act has even been held to cover ships, hovercraft, scaffolding and quaysides, the scope is quite wide indeed. The ‘occupier' might be a local authority, a company, an individual or a partnership.
The acknowledged test for ‘occupation' can be found in the case of Wheat –v- Lacon [1966] AC 552. It was said ...... "Wherever a person has a sufficient degree of control over premises that he ought to realise that any failure on his part to use care may result in injury to a person lawfully there ......"
S2 (2) of the Act is quite clear, it states ...... "The common duty of care is a duty to take such care as in all the circumstances of the case is reasonable to see that the visitor will be reasonably safe in using the premises for the purpose for which he is invited or permitted to be there ....."
Interestingly, the Act acknowledges that "..... an occupier must be prepared for children to be less careful that adults ....." [S2 (3)a].
In Glasgow –v- Taylor [1922] 1 AC 44, the corporation council were found liable when a young child ate poisonous berries in a municipal park. Similarly, in Jolley –v- Sutton LBC [2000] 3 All ER 409, (an interesting case of ‘allurement'), the House of Lords decided that a boy who was injured when a small boat he had propped up (on council land) fell on him, could claim compensation from the occupiers' of the land, i.e. the council.
In Dawson –v- Scottish Power Plc [1999-SL1] the court found Scottish Power liable when an eleven year old boy had climbed over the fence surrounding an electricity sub-station, was electrocuted. The boy was found one third contributory negligent. The fence was six feet high, but soil had built up at the base of the fence, making it only four feet high. By the way, the fence was topped with spikes and had warning notices stating ‘Danger of death – Keep out'.
In all these cases, the courts found that it was reasonably foreseeable that a child would become injured due to the occupier's negligence.
Rather sensibly, the 1957 Act recognises that experts working on the property will "..... appreciate and guard against any special risks ....." S2 (3)b. So, in Roles –V- Nathan [1963] 1 WLR 1117, the occupier was not held liable for the death of two chimney sweeps by reason of carbon monoxide and in General Cleaning Contractors –v- Christmas (that was the man's name by the way) [1953] AC 180 the occupier was not liable when their window closed on Christmas' hand, causing him to fall. As a window cleaner, he should have taken such precautions to prevent this – he should have been aware of the special risks – after all, he was a window cleaner'! In any event, his employer was liable as they had not provided a safe system of work (that's another interesting area of tort law).
Generally, warning signs and notices should be specific. It is not enough for an occupier to erect a sign stating ‘BEWARE' or ‘DANGEROUS'. In Staples –v- West Dorset District Council [1995] 93 LGR 536, the Court of Appeal found for the council. Simply, when you walk on slippery stones (on the Cobb at Lyme Regis), there is a good chance you will slip and fall. You don't really need a warning sign now do you?
By the way, if you see a sign that says something like ‘We do not accept responsibility fro injury caused on these premises', it's unlawful by reason of the Unfair Contracts Act 1977 S2 (1). But, of course, the occupiers know that and hope that you don't.
Now, the 1984 Act is somewhat different. It deals with the duty owed to persons ‘other than visitors' and by this it means ‘trespassers' – people using a private right of way and oddly, people visiting National Parks. S1 (3) of the 1984 Act states the occupier owes a duty if:
a) He is aware of the danger.
b) He knows/has reasonable ground to believe that the person is in the vicinity of the danger.
c) He should be reasonably expected to offer the person some protection.
S1 (6) provides that no duty is owed to persons who willingly accepts risks. This was the main point of Tomlinson –v- Congleton [2004] 1 AC 46, where the claimant became injured when he dived into a pool at a country park. He ignored the warning signs and became seriously injured. When he entered the water, he became a trespasser. The defendants (relied on Scrutthon's LJ opinion in The Carlgarth [1927] P93 11 "..... When you invite a person into your house to use the staircase, you do not invite him to slide down the banisters ....."
In Tomlinson, Lord Hobhouse said "..... Does the law require that all trees be cut down because some youths may climb them and fall? Does the law require the coastline and other beauty spots to be lined with warning notices? ....." The answer to all these questions, is of course, no.
And remember, an occupier cannot be prosecuted using these Acts, they refer to civil actions only.
If you want to make a personal injury claim, click Personal injury professional accident compensation claims UK - Daisy Chain Compensation Claim in England, Wales, Scotland. We'll be pleased to help you with your compensation claim.
Kwa hiyo mwanakijiji kwa nini sio DG wa NSSF badala yake ni Dr. Ramadhan Dau?
It is a waste of time niggler because you are not some kind of scintillating intellectual razor, slicing apart other people's arguments. You are just an annoying irritant.
You areguments are specious, tendentious and juvenile. They would be embarrassing in the context of a school debating society and I am frankly amazed that you keep on going. Mind you, I am also amazed that people still agree to collude with you in your inanities.
Asante sana kwa hii kwani hapa tunaweza kuzungumza vizuri na upande wako wa kisheria utakuwa msaada mkubwa.
a. Je katika mazingira haya ni sheria hiyo pekee yake ndiyo inapaswa kuangaliwa?
b. Je katika kifo kinachotokana na ujenzi mbaya mwenye liability ni mkaaji/mpangaji tu au mjenzi ambaye anapaswa kujenga to a certain standard?
c. Je wajibu wa mmiliki wa jengo ambaye ameruhusu activity fulani kufanywa na mpangaji, activity ambayo imeweza kusababisha madhara ndani ya jengo hilo kwa mtu mwingine wa nje ukoje?
Katika kuwajibika nilikoitisha sikusema lolote kuhusu kuwajibika mahakamani au kisheria. Bado watu wanasoma mengi kuliko niliyosema. Lakini kwa vile kuna suala la kisheria ni lazima tutambue pia kuwa mtu/taasisi inaweze isiwajibishwe kwenye sheria za jinai lakini akaweza kuwajibishwa kwa sheria za madai (unaweza kunisahahihisha kama nakosea).
Kuhusu Dau;
nimeweza kuelezea kwenye sehemu kadhaa humu kuwa siyo kama mtu binafsi bali kama Mkurugenzi wa NSSF. AKiondoka leo atakuwa amewajibika kwani yaliyotokea yametokea wakati yeye akiwa ndio Mkurugenzi. Itakuwa ni upuuzi kumwajibisha mtu ambaye hakuwepo wakati tukio hili linatokea.
Wakati mauaji yametokea Shinyanga, Mwinyi aliwajibika in his capacity as the Minister of Internal Affairs.
Cheap tickets
BBC NEWS
Tabora regional police commander Daudi Siasi was quoted as saying that the hall had a capacity of 200 but more than double that number were inside at the time of the disaster.
The hall was said to be overcrowded after cheap tickets had gone on sale.
Iwapo chanzo cha maafa ni wauza tiketi, kuna mwingine wa kulaumiwa kuhusika kwa namna moja au nyingine?
Ministerial responsibility ina mipaka yake,inawahusu wale waliochaguliwa ama kuteuliwa kwenye nafasi za kisiasa,na origin ya doctrine hii ni katika baraza la mawaziri,na ndio maana mawaziri wanawajibika hata kama kitu hawakufanya wao.Lakini inapotokea mtu aliyepo kwenye cheo cha utendaji kama Dr.Dau kanuni inayompasa yeye kujiuzulu sio ya ministerial responsibility moja kwa moja bali ni ya kiutendaji zaidi(aither kwa kutakiwa kujiuzulu na wakubwa zake kabla hajafukuzwa kazi ama kwa kufuatala moral conviction tu),anakuwa halazimiki sana kama walivyo mawaziri.Sasa kwa mfano kosa likawa linaonekana lipo wazi kabisa kwa Dau lakini bado anakataa kujiuzulu na waziri hamchukulii hatua yoyote,hapo ina maana waziri ndio anapaswa kuwajibika kwa kushindwa kumwajibisha aliye chini yake ukijumlisha na ukubwa wa kosa lililotendeke.
Ndio maana katika hali hiyo waziri au mkuu wa kazi anakuandikia barua akitaka wewe mwenyewe uwajibike au usubiri kuwajibishwa na hatua zote mbili hapo juu zina results tofauti.K
kUHUSU SHERIA
Si sheria hiyo tu inayotumika hapo zipo kama mbili tatu lakini hii ya hapa ni ya madai,lakini katika jinai pia unaweza kushikilwa na polisi japo kesi nyingi za namna hiyo huwa zinakuwa ngumu sana kwa prosecutio hasa kuprove culpability.
Na kama issue ni ujenzi mbaya hapo muhusika moja kwa moja ni owner na contractor na ndio maana pale awali nilisema,inategemea kama watoto wamekufa kutokana na kuangukiwa na kitu ndani ya jengo hilo au kingine chochote kinachosababisha negligence kwa contractor au owner lakini kama issue ni watu kuzidi basi ni occupier
Hiyo hoja ya tatu sina hakika sana kama ina hold water na ni kwa sheria gani ambayo inadhibiti matumizi katika majengo,it equires further research.
Kwa tips hizi chache naomba kuwasilisha kwani nakimbilia mahali nitarudi muda si mrefu au kesho
Asante sana kwa hii kwani hapa tunaweza kuzungumza vizuri na upande wako wa kisheria utakuwa msaada mkubwa.
a. Je katika mazingira haya ni sheria hiyo pekee yake ndiyo inapaswa kuangaliwa?
b. Je katika kifo kinachotokana na ujenzi mbaya mwenye liability ni mkaaji/mpangaji tu au mjenzi ambaye anapaswa kujenga to a certain standard?
c. Je wajibu wa mmiliki wa jengo ambaye ameruhusu activity fulani kufanywa na mpangaji, activity ambayo imeweza kusababisha madhara ndani ya jengo hilo kwa mtu mwingine wa nje ukoje?
Katika kuwajibika nilikoitisha sikusema lolote kuhusu kuwajibika mahakamani au kisheria. Bado watu wanasoma mengi kuliko niliyosema. Lakini kwa vile kuna suala la kisheria ni lazima tutambue pia kuwa mtu/taasisi inaweze isiwajibishwe kwenye sheria za jinai lakini akaweza kuwajibishwa kwa sheria za madai (unaweza kunisahahihisha kama nakosea).
Kuhusu Dau;
nimeweza kuelezea kwenye sehemu kadhaa humu kuwa siyo kama mtu binafsi bali kama Mkurugenzi wa NSSF. AKiondoka leo atakuwa amewajibika kwani yaliyotokea yametokea wakati yeye akiwa ndio Mkurugenzi. Itakuwa ni upuuzi kumwajibisha mtu ambaye hakuwepo wakati tukio hili linatokea.
Wakati mauaji yametokea Shinyanga, Mwinyi aliwajibika in his capacity as the Minister of Internal Affairs.
you must be kidding me... ok.. yaishe basi kosa ni la wauza tiketi!.
Nimeuliza swali tu, mbona wawaka yakhe ?
Wasema yaishe, kwani ilikuwa ushindani ?
Nimetaka kuelimishwa tu: mmiliki wa jengo kakupangisha sehemu, halafu wewe ukaenda pakia watu kwenye sherehe kupita kipimo, yakatokea maafa, tutasema kosa la mwenye jengo ?
This issue is very clear...
Mwanakijiji either una personal vendetta against Dau au uliteleza. Kuruka ngazi zote kuanzia kwa:
- Aliyekodisha jengo (aliyefanya hiyo sherehe)
- Doormen waliokuwa wanaingiza watu
- Manispaa
- Regional Chief Manager
- etc etc
na kuruka moja kwa moja kwa Dau...hata mimi nimeshangaa. WHY DAU?!!
Mfano aliotoa Kuhani unatosha, labda na mimi niongezee:
Una kampuni ya kukodisha magari, unamkodishia mtu gari. Jamaa anakwenda kupiga kinywaji na kugonga mtu. Sasa turuke na kumshika mwenye gari au dereva mlevi?
Wangwe alimpa yule kijana gari aendeshe wakati yeye amelala. Mwenye gari ni Wangwe..tusimshike yule kijana wala kumwajibisha turukie kumwajibisha Marehemu Wangwe(mwenye gari).
Mkijiji umeleta taarifa ya kusikitisha kuhusu maafa LAKINI ni wazi uko BIASED against Dau. Kwanini isiwe "Wahusika wa maafa ya Tabora wawajibishwe?". Kwanini uliruka kwa Dau? Nipe mwanga hapa...
Kinachosikitisha zaidi ni kujaribu kutumia mauti yaliyowapata watoto katika kumwadhibu adui yako. Kila mahali unasema wewe unajali kuhusu watoto...lakini huangalii nani wa kulaumiwa kwa sababu unaye tayari.