It is not about me GT, I have never claimed to be what people say I should be, I'm just a blogger and citizen journalist. I really don't care (you should have figured that out by now) what people think about me au jinsi wanavyonitaka niwe.
It is about the little souls that perished overnight in Tabora. It is about them; you can say anything about me (which won't bother me) but in this one kuna watu watawajibishwa na wa kwanza atakuwa Dr. Dau. I'm making my case and believe me, I'm writing from the reservoir of pain and anguish.
Siyo kuhusu Masau. I wrote THIS ARTICLE. Isome na utaelewa where I'm coming from. GT, this is not about me, it is not about you, it is not about THI/NSSF saga, and definitely it is not about Dr. Dau so don't take it personal. It is about them; it is about those kids who perished in NSSF building. If you don't get that part, I can't help you mate, you take it anyway you like. I'm done.
hehehehe our tagert has been always discussing people... sasa hata haijajulikana tatizo ni wapi... anaambiwa mtu awajibike tayari...
Mabadiliko haya yafikira naona kama ya kijima vile....
Endapo habari za vifo vya watu karibu ishirini kwenye ukumbi wa NSSF zitakuwa ndivyo zilivyo mtu wa kwanza kuwajibika itabidi awe Mkurugenzi wa NSSF Dr. Ramadhani Dau.
TUSOME NA KUELEWA KABLA YA KUHUKUMU
1)))ELEWA MAANA YA ENDAPO
2))ZITAKUWA NDIVYO ZILIVYO
POLEN WAFIWA KAMA NDIVYO ZILIVYO......
mteteeni mpendavyo; vifo hivi vya watoto hawa vitasikika kilio chake.
....BIG slow curve ball, evidently kwamba pitcher ana torn rotator cuff!! Bingwa, unaua timu, una-risk homerun namna hiyo!! jaa!
....kama kuna kuwajibishwa au vinginevyo, basi ni meneja wa ukumbi na 'ngelewele' wake! Inaonekana una hasira sana na huyo Dr. Dau.....! kaazi kweli.
You heard me....ndio maana nikasema it will be very interesting by saturday machana kwani tutakuwa tunatazama mechi ya Hammers V/s Trotters kwenye sky 1 kisha half time tunarudi kutazama anasemaje huyu mwandishi wa Free media humu JF na najua mpaka mechi ya Everton v/s Newcastle inaisha watu mtakuwa mshapata picha ya huyu mwandishi mwandamizi wa gazeti la Cheche...sasa sijui kama cheche zenyewe ndio hizi au vipiOoooooooouch! a hack? a paid hack? that's deep, maan!.
hamna lolote hasa kwa Tanzania, hii kesi itawaangukia meneja wa ukumbi/mwenye hilo disco na walinzi wake.....zaidi ya hapo unataka kujigeuza kichekesho tu!
Swali, hivi hilo jengo limejengwa mwaka gani?
ZAIDI ya watoto 14, wamefariki dunia baada ya kukosa hewa na kukanyagana ndani ya ukumbi wa starehe wa Babols Night Club, wa mjini hapa.
Hata hivyo mmiliki wa ukumbi huo ulioko katika jengo la NSSF, Shar Patel, hakuweza kupatikana kuzungumzia tukio hilo.
Inawezekana inajalisha. Hiyo legal doctrine uliyotaja inategemea na jurisdiction vile vile, sheria za Tanzania specifically. Na hiyo doctrine inahusiana na kesi za madai, tort law. Hapa inawezekana sheria inayohusika ni ya property law, au Tanzania wanaita land law, kwa sababu inahusisha upangishaji, iwapo alikuwa kapangishwa/kakodishwa mtu. Na ni nini walikubaliana kwenye lease agreement, mambo ya contracts yana kick in. Kwa hiyo nadhani ni muhimu kutokulichukulia hili swala kijumla jumla na kuhukumu bila kuwa na details.
Kwa hiyo nadhani bado kuna umuhimu wa kujua : Je, siku ya maafa ni nani alikuwa in charge wa jengo, mkodishwa ukumbi, NSSF wenyewe, mpangaji au nani ?
Wewe kuna watu hapa hawajenda shule, sasa huwasiadii na post kama hizi zakujionyesha onyesha, weka maneno simple ili wananchi wote waelewe ni ana madhumuni ni kuleimisha taifa sio kujionyesha onyesha na uongozi uongozi tu! hata pasipotakiwa uongozi!
Mzee Mwanakiji inaonyesha wazi kuwa UNACHUKI BINAFSI NA DR DAU,na pia inaonyesha hauko peke yako,mpka inafika wakati unajiamini na kusema kuwa LAZIMA atawajibishwa ama awajibishwe inatisha sana,mtandao wako na jamaa wako tunataka tuuone,Hivi mtu mwenye heshima kubwa kama wewe kwenye blog hii unaandika pumba kiasi?Ama kweli una lako jambo!!Mzee mwanakiji lete hoja sio CHUKI YAKO JUU YA DR DAU,tunakuona una kwenda kwenye CONCLUSION!!!Acha chuki zako binafsi wewe!!Kwanza ungetufahamisha wakati vifo vinatokea,jengo lip[o chini ya nani?Kwa mfano ukimbi wa Ubongo Plazza ni wa mifuko ya pension,lakini ukumbi ule umekodishwa kwa kwa mtu ambaye pia ndio mwenye hotel pale juu,jee watuwakipigana na kuumizana au kuuana litakuwa jukumu la mifuko hii ya pension?Ofisi ya Waziri wa kazi kwa ipo ktk yaliyokuwa makao makuu ya NSSF,je waziri au katibu wakipigana na wakaumizana au kuuana litakuwa suala la Dr Dau?Lete HOJA SIO VILOJA
GAME THEORY,ana insist on indepth analysis so as to separate men from the boys.humu JF,there seems to be sort of COLD WAR,sijakuwa member that long to know exactly whats going on,but it seems watu wanaviziana,a slight misdeamour and they dogs are unleashed.someone tueleze cause naona like watu wanatumia upana wa lugha ya kingereza to go personnal
Hebu mwacheni mwanakijiji wangu nyie wadau wa DAU!
Swali la msingi la kujiuliza, je UKUMBI HUO ULIJENGWA NA NSSF KIMUUNDO WA UKUMBI WA DISCO? Kama hapana lazima safety and emergency measures zitakuwa zimekiukwa.
Hivyo, aliyeingia mkataba wa DISCO atakuwa ametengeneza chumba cha mauaji, I mean Killing rooms.
Dharura ikitokea like umeme kukatika au moto wote wanakua kwenye pa kuuliwa.
Kwa hiyo tuelezwe kwanza, ukumbi ukoje? Isije ikawa ni wa swala ya iddi wao wameugeza wamuziki wa watoto wetu wengi
Asha
Well- for a start Mwanakijiji cant even be drawn to answer a couple of simple and reasonable questions put by his critics humu JF
It is surprising that the polite and patient people here have even bothered.
You know what youre dealing with. His slippery lying performance over Dr MASAU was a bit of a giveaway.
You didnt really expect hed evolved into an honest and decent journalist these last couple of weeks as a result of that, did you?
Some of us take comfort in the fact that hes tarred forever over Dr MASAU, and that we dont have to wake up every day living in his ugly mind and world.