Mwana wa Mungu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2008
- 1,003
- 83
Ati jamani, wakati mwingi nasoma blog za wakenya. lakini hadi sasa sijaelewa vile vifaru walivyoshusha wakenya hapa juzi, vile vilivyotoka Ukrain, vilivyokuwa vimetekwa na majangili baharini, vilikuwa vinapekelwa wapi?
kuna wengine wanasema vilikuwa vinapelewa Southern Sudan, wengine wanasema vilikuwa kujilinda na fujo za kikenya, wengine wanasema wanajiandaa kupigania kisiwa cha migido kilichopi ziwa victoria ambacho uganda wanataka kukinyang'anya, na wengine wanasema zilikuwa za ulinzi tu wa nchi.
Jibu ni lipi? na je, hicho kisiwa wanagombania nini hawa wapenda EAC na federation? wameanza mapema hivi hata wakati hatujaingia, mu7 ananyang'anya kisiwa....hahaha, na je, hivi Kenya ina asilimia ngapi kwenye ziwa victoria, si sehemu ndogo sana.
Mwisho, napenda kuwapongeza Wakenya, kuwa na nafasi ndogo sana kwenye ziwa victoria, lakini wanaoognoza kuprocess samaki wa ziwa hilo, kuwazidi watz na uganda wanaomiliki sehemu kubwa zaidi ya ziwa. Pamoja na kwamba, kilio kikubwa cha wakenya ni kwamba, watanzania na waganda wamekuwa wakiwaarrest fishermen wa Kenya wanapovuka mipaka kuja kuvua bila kulinda mazalia ya samaki kwenye maeneo ya Watanzania na waganda.