Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vifaa vyote vya uchaguzi mkuu tayari kasoro kimoja

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanamayu, May 14, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 5,453
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  Hivi tatizo nini kwamba karatasi za kupigia kura bado? Au mpaka wajue idadi ya wapiga kura? Zinazobaki bila kutumika inakuwaje?
   
 2. genekai

  genekai JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 10,802
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  Hadi uteuzi wa wapigiwa kura utimie mkubwa ndo waweze kuzitoa!
   
 3. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #3
  May 14, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 5,453
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  Yawezekana upigaji kura kuanza baada tu ya uteuzi wa wagombea hasa Julai?
   
 4. genekai

  genekai JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 10,802
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  Nilimaanisha uteuzi wa wagombea mkubwa!
   
 5. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 5,453
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  Ina maana nyingine zitatolewa na majina kabisa? Kama wewe huko NEC tusaidie!
   
 6. M

  MJM JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Inamaana haujawahi kupiga kura? Unapopiga kura lazima kuwe na wagombea kwenye karatasi not otherwise.
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,222
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  hehehehe hoja butu hii.
  utachapishaje karatasi za kura ilhali hakuna aliyependekezwa ama kuomba kuchaguliwa?
   
 8. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani Mwanamayu alikuwa anajisikia tu kulalamika kuhusu kitu. :D
   
 9. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,513
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hoja hapa sijaipata vizuri ila kuna kamchezo hapo!
   
 10. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,513
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi navyofikiri mambo mengi yanatakiwa yawe tayari on desk. Kuwe na kumalizia yale yanayohitaji kwa mfano mpaka wagombea wawe wameidhinishwa!
   
Loading...