Vifaa vya ujenzi ni bomu kwa wanyonge

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Inashangaza sana kuona bei ya Cementi na bati za kuezeka bei yake ni juu

wanyonge Tanzania wanaishi nyumba mbovu sana..

Tunaomba Rais asikie kilio cha wanyonge, review Cementi prices

Mojawapo ya Ahadi ya CCM ni punguzo vifaa vya ujenzi
 
Tunamuomba Ole Sendeka amshauri Raisi asaidie wanyonge wajenge Nyumba Bora

Bei ya Cementi na vifaa vya ujenzi kushuka ni ahadi ya CCM...

Ikifika 2020, wanyonge tutawauliza wabunge wa CCM

Hasa mikoa ya Morogoro, Tanga, Dodoma na Shinyanga...nyumba ni za udongo

Hii mikoa ni ngome ya CCM
 
Wakiweka bei elekezi mtasema serikali inawaingilia na kuwakandamiza wafanyabiashara. Sasa hivi kuna viwanda vya cement vingi, bei inaanza kushuka taratibu. Cement ya Dangote sasa hivi 12,000/-.
 
Kuna factor nyingi katika uzalishaji......wewe umeangalia bei elekezi tu.

Look here: kuna gharama za uzalishaji....serikali ipunguze gharama za nishati

pia kuna kodi serikali inachukua, Kama mfuko mmoja wa cementi ni 4000 Kabla ya kodi, weka kodi labda 6000....

Sasa serikali ipunguze kodi hapo, serikali ichukue kodi kama 3000 hivi

Serikali inakusanya kodi kwenye miamala ya simu, kwenye mafuta

Hakuna Maisha bora kwa Wanyonge.....Hasa Ngome za CCM Morongoro, Dodoma, Tanga vijijini

Huko ndo kuna nyumba za udongo
 
Back
Top Bottom