Je, Unataka kuanzisha kituo cha radio?

Radio Producer

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
724
295
Unataka kuanzisha radio? Haya sasa TCRA wametangaza masafa tayari katika maeneo mbalimbali kama.ifuatavyo:-

1. Morogoro (Radio za biashara 2, zisizo za biashara 1)

2. Kyela (Radio 2 za kibiashara)

3. Busokelo ( Za biashara 2 zisizo biashara 1)

4. Mbeya mjini (2 za biashara)

5. Rungwe (Mbili za biashara, moja isiyo ya biashara)

6. Kigoma mjini (radio mbili za biashara)

7. Kasulu (mbili za biashara)

8. Buhingwe (mbili za biashara)

9. Uvinza (mbili za biashara)

10. Geita mjini (2 za biashara)

11. Chato (1 ya biashara)

12. Shinyanga mjini (1 ya biashara)

13. Kahama (1 ya biashara)

14. Bariadi (moja ya biashara)

15. Mtwara mjini (2 ya biashara)

16. Masasi ( 2ya biashara)

17. Nachingwea (1 ya biashara)

18. Dodoma mjini (2 za Biashara)

19. Kondoa (1 ya biashara)

20. Mpwapwa (1 ya biashara)

21. Singida mjini (1 ya biashara)

22. Iramba (1 ya biashara)

23. Manyoni (1 ya biashara)

24. Moshi mjini (1 ya biashara)

25. Sumbawanga (2 za biashara)

26. Nkasi (1 ya biashara)

27. Mpanda (1 ya biashara)

28. Arusha mjini (1 ya biashara)

29. Babati (1 ya biashara)

30. Songea (mbili za biashara)

31. Mbinga (1 ya biashara, 1 isiyo ya biashara)

32. Nyasa (2 za biashara, 1 isiyo ya biashara)

33. Tunduru (1 ya biashara, 1 isiyo ya biashara).

34. Lindi mjini (1 ya biashara)

35. Kilwa (1 ya biashara)

36. Nachingwea (1 ya biashara)

37. Ruangwa (1 ya biashara)

38. Njombe mjini (1 ya biashara)

39. Ludewa (1 ya biashara,1 isiyo ya biashara)

40. Makete (1 ya biashara)

41. Msoma (1 ya biashara)

42. Mugumu (2 za biashara)

43. Rorya (1 ya biashara)

44. Tarime (1 ya biashara)

45. Iringa mjini (2 za biashara)

46. Tabora mjini ( 1 ya biashara, moja isiyo ya biashara)

47. Urambo (1 ya biashara)

48.Kaliua (1 ya biashara)

49. Sikonge (1ya biashara)

50. Uyui (1 ya biashara)

51. Mwanza mjini (1 ya biashara)

52. Magu (1ya biashara)

53. Sengerema (1 ya biashara)

54. Bukoba mjini (1 ya biashara)

55. Misenyi (1ya biashara)

56. Karagwe (1 ya biashara)

57. Muleba (1 ya biashara)

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 29th April 2016.

Kampuni yetu ya Radio Consult LTD itakusaidia kuandaa documents hizi kwa gharama nafuu.

Mawasiliano:-

Mob: 0625 712 315
Email: consultancy@radiotz.com

Share na wenzako kadri uwezavyo.
Asante.
 
Pata package kamili ya vifaa vya radio:-

1. Transmitter na antenna (package) Watts 600.

2. Vifaa vya Studio (Mbili- Broadcast+Production Unit)

Vyote kwa bei ya: USD 6,500/= Ex. VAT+Import duty.
 
Porto Alexandria.png
 
Back
Top Bottom