Vifaa, Tiba Hakuna mahospitalini

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Serikali inajitapa kuwa inajenga barabara wakati Hospitali haina Vifaa tiba

Kama watanzania wagonjwa wakifa kwa kukosa vifaa tiba na dawa.

Serikali imeacha mafisadi wakitamba na hela South Africa -Shombo na Swiss, Jerser

Sasa hizo barabara wanajengewa wanyama ama Watanzania.

Kama Hospitali hazina vifaa tiba, je hata wakileta madokta kutoka cuba ama South Africa, Vifaa Tiba vipo wapi??

Watanzania tuamke jamani, wabunge wanajiongezea mishahara na posho

mafisadi wanaachwa wanatafuna rasilimali za nchi, walimu na madokta wanateswa

MaHakama itaweza kurudisha motivation ya Kazi?
 
Back
Top Bottom