Vidume wanavaa GWANDAZ - CPA

ANKOJEI

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
996
742
ni kesho maeneo ya mhasib house, vipanga wa mahesab ya biashara wanakabidhiwa majembe yao katika ngaz mbalimbal gumzo kubwa likiwa ni wale waliofaulu mtihan mgumu wa hesab katika final stage.My take..serikal inauhaba wa wahasibu lakin pia hawana mpango mahus wa ku-absorb wahasib kama wanavofanya kwa waalim na madaktari.ndio mana mahesab ya serikal yamejaa hat mashaka.
 
hopefuly ntakuwepo maeneo hayo na cm yangu ya mchina ntajarib kurusha picha 2 tatu iv
 
...ni kweli kabisa ila usiwe gender biased, na akina mama nao wapo pia wa kutosha tu

lile gwanda aisee RESPECT SANA!
 
haha na kunj kipanga dem naona anaondoka na zawad zote nipeukweli
 
Last edited by a moderator:
ni kesho maeneo ya mhasib house, vipanga wa mahesab ya biashara wanakabidhiwa majembe yao katika ngaz mbalimbal gumzo kubwa likiwa ni wale waliofaulu mtihan mgumu wa hesab katika final stage.My take..serikal inauhaba wa wahasibu lakin pia hawana mpango mahus wa ku-absorb wahasib kama wanavofanya kwa waalim na madaktari.ndio mana mahesab ya serikal yamejaa hat mashaka.
kwanini usifikirie kujiajili dogo? utazeeka bure kwenye kazi za watu
 
Jimbi ilo nalo neno ila serikali nayo inaitaji wataalamu ili mambo yetu kama nchi yakae sawa, BUT awzo zuri!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom