vidoti kwenye macho!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
machoni kwangu nikiagalia vitu kama karatasi nyeupe,angani au kwenye maji,naonakunavidoti vyeusi.alafu macho yangu naona mazito sana nifanyeje sasa.shule ya boarding niliyosoma ilikua maharage only
 
nenda kwa daktari wa macho akupime. maharage si ishu maana watu kibao tuliosoma enzi za mwalimu za kula maharage kwa kwenda mbele macho yako poa kabisa.
 
Back
Top Bottom