Vidonge au gel za kutekenya na kumtia ashki mwanamke?

Dawa zipo nyingi za aina hiyo ila sijui hapa bongo zinapatikana wapi ughaibuni kibao yaani labda kama kuna sex shop hapa bongo utapata.
 
aisee, tuna mawazo very constructive these days... anyway, ukichanganya pilipili na ugoro waweza pata a local concoction yenye similar effects

Zakuambiwa changanya na za mbayuwayu.
 
Hizi mambo zipo ndio...kuna bwana mmoja namfahamu yeye anawapa Chewing Gum then wala haangaiki...na anaziagiza kutoka Uingereza.
 
Jando everywhere including usukumani. Kwani jando ni nini zaidi ya kuwa taasisi ya kufundisha mambo ya ukubwani? Tofautisha jando na kutahiri au kukeketa kama mlivyozoea.
 
Back
Top Bottom