Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIDEO ZETU (Education and entertainment)

Discussion in 'Jamii Photos' started by NDINDA, Mar 19, 2012.

 1. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 1,957
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Wadau ili tuweze kufumbuana macho na kuona vitu mbalimbali vinavyofanyika maeneo mbalimbali vinavyohusu elimu na burudani tafadhali tushare hapa, tunaweza kuburudika na wakati huo huo tunajifunza vitu mbalimbali ambavyo vingekua vigumu kwa sisi wenyewe kwenda kutafuta na kujifunza. karibuni wote

  kuna free lectures pia kwa wanaohitaji za masomo mbalimbali tutadumbukiza humu.

  HII HAPA PROGRAMMING ( STANFORD UNIVERSITY OPEN COURSES)


  [video]http://v.163.com/special/sp/programming.html[/video]
   
Loading...