Video ya zitto akitoa budget ya upinzani.

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Jamani tunaomba msaada wa video ya mheshimiwa zitto akitoa speech ya budget au kama mtu
anajua inapatikana wapi (source)tufahamishane please wengine sisi ni wapenzi wa kusikiliza kuliko kusoma.
 
nimekwenda kwenye you tube sikuona labda unipatie keyword uliyotumia
 
Back
Top Bottom