Video ya Ommy Dimpoz imetulia sana

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
Binafsi sio mpenzi sana wa nyimbo za Ommy Dimpoz lakini mtu anapojitahidi kufanya kitu kizuru ni muhimu kumsifia

Hii video imefanyika kwa Madiba production ya Godfather kama kawaida

I like the idea, comedy flani hivi amazing. Quality ipo poa sana, Idrisa na Wema wameitendea haki

[video] http://youtu.be/pl2BpF3Hq0g[/video]
 
We akili yako haijatofautiana na midoli niliyo iona humo kwenye video. Hiyo video ina uzuri gani,au ndo mahaba niue, mpenzi ajambe uanze kumsifia kajipulizia pafyum nzuri?

Mtiriroko mzima wa matukio umekaa kitoto sana... nyimbo kama hizi zinanikumbusha enzi za akina mr.nice, kuku kapanda baiskel,bata kavaa raizon.

Hawa wasanii naona wanazidi kushuka viwango kila uchwa... kuna wale wengine 2 wenye matimUshuzi naogopa kuwataja nisije kushambuliwa bure. Lakini hawana jipya.
 
Sio kosa lako mkuu kwakuwa umekariri nyimbo haswa ya mapenzi kama hii basi atupie mavazi ya gharama na kwenye majumba ya kifahari na magari ya kifahari....... Kwako wewe hiyo ndio itakua video nzuri

Theme ya hii video ni comedy, if you dont like comedy thats your own problem
 
total comedy kwakweli...nimecheka kwa nguvu walivyouparamia mlango wa kuchora! its gud idea n video.. but labda sijui music naona kama actions na maudhui vinarelate kwa tabu sana
 
Video afadhali ila nyimbo mbaya🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈
 
alafu zile picha zilizokuwa zinasambazwa IG nikajua tutaona vipande vyake humu kwenye video, kama vile vipande vya kitandani, na hivi walivyorusha juzi na jana vya wema kumkalia ommy kwa juu wakikisi, mbutananga kumbe zilikuwa kipersonal zaidi, picha za video tofautiiiii!! leproject
 
Mtoto wangu kapenda midoli sasa anataka nimnunulie kama hiyo ya kwenye ajera kazi ninayo
 
alafu zile picha zilizokuwa zinasambazwa IG nikajua tutaona vipande vyake humu kwenye video, kama vile vipande vya kitandani, na hivi walivyorusha juzi na jana vya wema kumkalia ommy kwa juu wakikisi, mbutananga kumbe zilikuwa kipersonal zaidi, picha za video tofautiiiii!! leproject

Yaan mi sijacheka hata kidogo aiseee,naona mvutoless
 
Binafsi sio mpenzi sana wa nyimbo za Ommy Dimpoz lakini mtu anapojitahidi kufanya kitu kizuru ni muhimu kumsifia

Hii video imefanyika kwa Madiba production ya Godfather kama kawaida

I like the idea, comedy flani hivi amazing. Quality ipo poa sana, Idrisa na Wema wameitendea haki

[video] http://youtu.be/pl2BpF3Hq0g[/video]

Last edited by a moderator:
mi nimeenjoy commeds tuu hasa za Idrisa, sijakumbuka hata kusikiliza kinachoimbwa.

Ndio maana nikasema mimi pia si mpenzi wa nyimbo za Dimpoz ila video imekaa vizuri, yaani kuna kaubunifu flani hivi kanavutia
 
alafu zile picha zilizokuwa zinasambazwa IG nikajua tutaona vipande vyake humu kwenye video, kama vile vipande vya kitandani, na hivi walivyorusha juzi na jana vya wema kumkalia ommy kwa juu wakikisi, mbutananga kumbe zilikuwa kipersonal zaidi, picha za video tofautiiiii!! leproject

Mkuu ile ilikua ni sehemu ya promo tu
Katika shooting huwa kunakua na scene nyingi sana, na baada ya kumaliza shooting jopo linakaa na kuangalia liweke ipi liache zipi
Scene zote za kifahari ziliondolewa zikabaki za hospitali ya vichaa tu
 
kwa hiyo wakachagua kufanya promo na zile scene zenye kuleta mihemko, kuturusha roho watoto wa wenzao, nimeelewa sasa, manake mmbeya mimi ndio vipande nilivyokuwa navingojea kwa hamu, kuja kukutana na NURSE nikabali like OUKEY!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom