Video ya Mh. Tundu Lissu akiomba idhini ya Spika kuahirisha bunge kujadili Ajali ya meli

hapa lissu nimekumbali kwa hoja hii
[h=6]Na ule msemo akili ni nywele kila mtu anazo? Kwa nini uhamaki?! Ilhali kilichosemwa ni kuwa kichwa kazi yake sio kubeba nywele bali pia na akili! Wewe unazira na kukasirika![/h]
 
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania ameonyesha udhaifu mkubwa kwa kukataa hoja ya Mh. Tundu Lissu ya kuomba idhini ya Spika kutoa hoja kuahirisha shughuli za Bunge ili kujadili jambo la dharura kuhusiana na ajali ya meli iliyotokea...hii inaonyesha wazi kwamba hakuna umakini ndani ya serikali katika kushughulikia majanga kama hayo. Swala muhimu kama hilo linapaswa lijadiliwe kwa umakini ili kuokoa maisha ya waTanzania wasio na hatia.



majibu ya naibu spika kwa hoja ya mh. Lissu





full kichefuchefu,,,,bunge letu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom