Video ya mauaji ya Mwandishi wa Channel ten

Strange ,very strange police are assigned to assacinate citizens,i hate this government and the top officials
 
Ninatumaini kuna watu/waandishi wenye mkanda kamili wa tukio hili. Tunawaomba wasije wakanunuliwa ili kuficha udhalimu huu. Najua patapatikana hadhara husika ya kutoa vielelezo hivyo, kuliko kuja kuelezwa na TUME ya polisi kuwa Marehemu alijilipua mwenyewe ili kupata umaarufu. Kama wasipojifunza hata kwenye hili, basi hawatajifunza kamwe.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Killing of uninnocent people will cost ccm and it's goverment toward general ellection of 2015...we as citizens we condemn the whole process that has taken by goverment and it's instrument over chadema,ccm and it's goverment will witness the aftmath of beang killing people during 2015.
 
Hapo kwenye blue paangalie tena!
 
Mdogo mdogo tu hatimaye chagonja atakuwa mgonjwa.
Hizi video zitammaliza mashavu yake!
 
Hivi chagona alichokua anaongea ni kweli wote mmeona au mi nilikua naota?
 
Ninatumaini kuna watu/waandishi wenye mkanda kamili wa tukio hili. Tunawaomba wasije wakanunuliwa ili kuficha udhalimu huu. Najua patapatikana hadhara husika ya kutoa vielelezo hivyo, kuliko kuja kuelezwa na TUME ya polisi kuwa Marehemu alijilipua mwenyewe ili kupata umaarufu. Kama wasipojifunza hata kwenye hili, basi hawatajifunza kamwe.

Hata mafarisayo walijaribu kuficha siri za Yesu lakini walishindwa!
 
Toeni video zote tuzione, msifiche msibakize kitu nyuma. Muda ndio huu
 
Nilidhani inaonyesha alivyouwawa, tafuta inayoonyesha mauaji utuwekee.Hii haiwezi kutusaidia kwenye ushahidi wa polisi kuhusika.
 
kweli inauma sana tena sana kwa kitendo cha kijinga kama hiki yaani inaonyesha polisi waliamua kupiga wananchi bila sababu za msingi
 
Mauaji haya ni maelezo ya udhalimu, kukosa utu na ufukara wa mawazo wa watawala katika kueneza umiliki na utawala wao. Ninayalaani mauaji haya, ninalaani hatua na maelekezo yoyote yaliyosababisha maisha yasiyo hatia kutwaliwa kinyama kwa kutumia nguvu, thamani na jeuri ya kodi yangu. kwa nini mwaajiriwa anataka kuwa na amri juu ya mwajiri wake?
 
Hawa askari wanafanya kazi ya kuwinda raia badala ya kuwalinda, sasa hz damu za wasio na hatia watazilipa tu.
 
Back
Top Bottom