video:waliokamatwa na dawa za kulevya kilo 95

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,069
15,926
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=-Ij2xVdYd98"]YouTube- Vita kati ya wauzaji wa madawa wa kulevya na serikali[/ame]
kilo 95!!?pata picha watu wangapi wangeathirika na huo unga.
 
Hivi huyo mkemia mkuu ameshathibitisha kama hayo ni madawa ya kulevya. Yawezekana kuwa unga wa sembe vile vile!
 
Hivi huyo mkemia mkuu ameshathibitisha kama hayo ni madawa ya kulevya. Yawezekana kuwa unga wa sembe vile vile!
ni kweli hawachelewi kubadili statement wakikatiwa kidogodogo
 
Na ziliingia vipi nchini? Lazima chain nzima ya uingizaji ikamatwe. Jamani hawa wanataka kutuharibia watoto wetu hivi!!!!
 
Kwanza asante huo mlio wa ITV long time nlikua sijausikia, na hivi tumewaomba website hawataki!!

Sasa, naomba kuuliza, hao watoto wadogo hapo wanafanya nini?
 
Back
Top Bottom