VIDEO: Three Men vs. Fifteen Hungry Lions

hii nimeipenda.Watanzania tungekuwa na roho kama hizi tusingekubali kuwa maskini,kuona nchi inaliwa,tunatunza mafisadi lazima wangekuwa wameshakimbia nchi kitambo sana watakuachia nchi yetu iliyojaa maziwa na asali na tungeitawala kwa haki,demokrasia na amani.
 
hii nimeipenda.Watanzania tungekuwa na roho kama hizi tusingekubali kuwa maskini,kuona nchi inaliwa,tunatunza mafisadi lazima wangekuwa wameshakimbia nchi kitambo.
Hii ni desturi ya hili kabila kuiba mawindo ya simba, wamekuwa wakifanya hivi kwa miaka mingi sana. Wanacho kifanya ni kuwazubaisha Simba kwa muda na kuiba mawindo ila inahitaji ujasiri waajabu sana.

Hawa jamaa na nduguzao wamasai wote wanaujasiri waajabu sana kwakweli kama wabongo wengi tungekuwa na roho hii hakika ufisadi usingekuwepo.
 
Duh moyo umenilipuka kadiri nilivyokua naangalia nilidhani watauawa. Ama kweli kuna watu jasiri duniani aisee
 
Hao ndio wangepewa kazi ya kulinda tembo wetu, ni jasiri na wanalinda maliasili Proud to be Masai
 
Back
Top Bottom