Chechetuka
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 549
- 44
Hivi huyu Jamshid Bin Khalifa bado anaishi Uingereza? Kwanini harudi kwao Oman?
Hivi huyu Jamshid Bin Khalifa bado anaishi Uingereza? Kwanini harudi kwao Oman?
mmj kumbe ww mpumbavu sana na una roho mbaya hasa kwa wazanzibari.
Wazanzibari wameamka na hizi choko choko za kuwagawa hutofanikiwa si ww wala wenzio uwe ukweli uuje.
Wazanzibari toke asili hadi leo ni mchanganyiko wa watu na makabila mbali mbali. Ikiwemo damu ya kiarabu na kimanaga ambayo unataka kuwaaaminisha watu kuwa hawana haki ya kupigania nchi yao
rais karume alieondoka mama yake mwarabu, salim ahmed baba yake mwarabu, mansour yussuf himid aliekuwa mweka hazina wa ccm (kama sikosei zanzibar) ni mwarabu damu ya kiarabu ina haki zanzibar na imo kwenye vyama vyote vya siasa vyenye maslahi zanzibar iwe ccm au cuf hata zamani iwe hizbu umma party au asp.
Fitna na choko choko zako hazibadili ukweli kuwa wazanzibar wanachotaka ni nchi yao, na wanahisi wanaonewa. Sema lugha tu zinatofautiana kutokana na chama au sehemu aliokuwepo. Ndani ya ccm si mara moja wala mbili wazanzibar wanatoa kauli ya kusema kuhusu muungano kutokuwa sawa akiwemo raza ( ambae ni mhindi), shamhuna ambae ni mshirazi, mwakilishi hamza aliekuwa waziri wa nchi, nassor moyo mwenye asili ya tanganyika ( lakini ni mzanzibari) aliekuwa waziri wa kwanza wa sheria ya jamhuri ya muungano. Aboud jumbe ( aliekuwa rais wa zanzibar na muasisis wa ccm). Na wengi wengine wamesema si mara moja juu ya muungano. Pia kwenye cuf na wao si mara moja wala mbili wameshapaza sauti zao kuhusu muungano huu.
Kwa hio hatudanganyiki wala hatugawiki wala hatuondoshwi kwenye pointi muhimu ya kudai haki yetu ambayo mnapambana kwa kila njia kuibana na mnatumia kila hila kutaka kutugawa
wazanzibari kwa vyovyote hawarudi nyuma hadi tupate nchi yetu
mbona unaendelea kujadiliana na fool??? hapo juu umeandika nini???
Matthew 5:21-22 (New International Version)
"You have heard that it was said to the people long ago, 'Do not murder, and anyone who murders will be subject to judgment.' But I tell you that anyone who is angry with his brother will be subject to judgment. Again, anyone who says to his brother, 'Raca,' is answerable to the Sanhedrin. But anyone who says, 'You fool!' will be in danger of the fire of hell.
Huyo Sultani analojua hilo?(kuwa he is a fool)
Kwa kujua ukweli, kuuona na bado yeye na vikaragosi vyake wanataka kuleta vurugu za usrabuni Zanzibar.
Now who is the fool here?
Greater fools go further, torching churches with religious zeal as you are tring to portray.
All this for the sake of a Principal Fool- The Blood stsined Sultan.
Ajabu ni kuwa sijui Kuran inakulezaje juu ya muungano na kuchoma makanisa!
And I can safely say itis fools who take their own failings in life upon others, no wonder you are busy quoting holy books to maintain your wrong perceptions about your own failures instead of WORK WORK WORK!
Anyway, be my guest my foolish friend.
Mzee Mwanakijiji.
Siku za hivi karibuni umekuwa unafanya siasa kama CCM, tena kwa ustadi na weledi.
Siku umma wa Tz utakapochoka kusikiliza propaganda za ki-CCM na kuzikubali kiulani watagundua kuwa unachokifanya sasa katika makala za karibuni kuhusu Muungano ni sawa na Mwalimu Nyerere kulia, kudondosha machozi kwa "huzuni" baada ya kuapata taarifa za kifo cha Sokoine.
Matukio ya Zanzibar yamekuparaganya na sasa unajaribu kuwababaisha wasomaji wako. MMJ una wafuasi wengi, wafuatiliaji wengi wa makala na michango yako watendee haki.
Ni nini lengo lako hasa kwa makala zako za hivi karibuni?
Je siku utakapopata ushahidi kuwa yale matukio ya Zanzibar yana mkono wa makada wa "Chai, Chapati, Maharage" na pia kuwa Polisi walisheheni uongo katika taarifa zao utarudi jukwaani na kuipa "tough" UAMSHO?
Hivi huyu Jamshid Bin Khalifa bado anaishi Uingereza? Kwanini harudi kwao Oman?