Macos
JF-Expert Member
- May 12, 2008
- 1,979
- 1,416
alichosema jamshid ni sawa na ukweli..kwamba Tyrant ameuliwa..kwa nini tusiwe wakweli? hivi Amina Dadah Na karume nani anamzidi mwenzake? mimi kwa maoni yangu Karume ni zaidi..ukweli utabaki hivyo...miaka yake minane(8) amesababisha wakimbizi zaidi ya 400,000 nusu ya wazanzibari...na hapa hatuzungumzi waraabu ama wahindi bali waafrika wenziwe kabisa...lakini wenye asili kamili ya uzanzibari na sio wakuja kama yeye.
mapinduzi pekee yake ambayo yeye tunaambiwa alikua kiongozi yalipelekea kuuliwa kwa watu zaidi ya 25,000 hawa ni wakati wa harakati za mapinduzi pekee yake...jee unajua kwamba 1964 zanzibar ilikuwa na watu 200,000 tu? sasa kuuwa 1/8th ya population bila ya makosa yoyote , hawakupinga mapinduzi kwa kupigana , serikali ilikua tayari wamepindua, na viongozi walopinduliwa wote karibu walinyongwa..makosa yao nini ? wakati karume alishiriki katika uchaguzi na kushindwa?
muulizeni Bakhressa baba yake alichinjwa kama kuku na jeshi la Karume...na jee unajua kwamba BABA wa Bakhressa alikua akimpatia visenti Karume kabla ya mapinduzi yake ? Lakini hilo halikumsaidia kitu alichinjwa tu mbele kwa mbele...hivyo kuna walopata ngawira za mapinduzi walilia alipouliwa Karume lakini wengi walikenua huu niukweli kwani justice mwisho wake ilipatikana kwa waliouliwa na utawala wake...
Jamshid yupo sahihi ...kufurahia na huwezi kumlinganisha yeye na Karume..kwani Jamshid hana tone la damu ya wazanzibar...lakini Karume damu inamptapakaa