Video: Si kuibiwa ni kuzidiwa!

Status
Not open for further replies.
Kiranga,
Ukishakuwa na judgement tayari huwezi kutoa "fare reasoning". I would rather wait for the other side to let us know what conspired!!!! Wewe usha- conclude kabisa hata kabla ya kusikia the other side of the story!!

Usije ukasikia upande mwingine wa stori ukaanza kujuta na hizo hukumu zako. Usifanye dhambi ya kumhukumu Slaa kabla hujasikia yote.

Slaa kakanusha tuhuma? Anangoja nini, ujio wa pili wa Yesu ?
 
Nishasema hapo juu kwamba I am not as interested in the integrity of this guy aliyechukuliwa mke as I am in the integrity of the person who has a shot (however remote) at being the next president.

This has the potential of making Dr. Slaa officially wack.
now he is using the magic word - potential
 
Hii inahusiana vipi na hii topic. Uko all over the map, hueleweki hasa unachobishia hapa. Ufisadi au kura za chadema.

Watu wengine kwa kupenda ligi hamjambo

Fuatilia post iliyokuwa quoted ilisema nini, na kwa nini post hii ipo relevant ukiunganisha na hiyo,usidandie treni kwa mbele.

Kama unataka twende toe to toe naweza, angalia usije kuwa blasted out of existence, like it is Iran up in here and there is no law or government, Ahmadinejad style.

ahmadinejad.jpg
 
Slaa kakanusha tuhuma? Anangoja nini, ujio wa pili wa Yesu ?

Kakanusha tuhuma zipi? Slaa ndiye alifungua hizi habari kwa kukubali interview kuhusu uhusiano wake na waandishi wa habari, anachotakiwa kukanusha ni kipi hapa?

Slaa kakubali kuwa ana uhusiano (uchumba) na huyu mama. This guy anasema kuwa kanyanganywa mke, kosa la Slaa ni lipi hapa.
 
Fuatilia post iliyokuwa quoted ilisema nini, na kwa nini post hii ipo relevant ukiunganisha na hiyo,usidandie treni kwa mbele.

Kama unsataka twnde toe to toe naweza, angalia usije kuwa blasted out of existence, like it is Iran up in here and there is no law or government, Ahmadinejad style.

ahmadinejad.jpg

nataka kwenda toe to toe nawe. Ahidi tu kuwa hutakimbia mambo yakikuzidi hapa.

Swali kwako, kosa la Slaa kwenye hii issue ni lipi?
 
Kiranga,

Ni sawa na kujua siku JUA litapatwa na Mwezi na unajifanya wee MNAJIMU mbele ya Wazazi wako. 3+2=32.

Huyu jamaa kajitia aibu sana. Kunyanganywa mwanamke na yeye ndiyo anagutuka leo.

Ngoja afunguliwe mashtaka ya kunajisi wanae.

Unayejua labda wewe, ukiambiwa hebu tujuvye na wengine basi CHADEMA imesimamisha wagombea kwenye majimbo mangapi, longolongo kibao, kikapanda kikashuka.

Hili swala la hesabu linataka jibu la namba.Kama hujui kama mimi sema tu sijui, hamna haja ya kuona aibu, nchi yetu inajulikana ni ya "Data Not Available".

Kama unajua bado una nafasi ya kutujuza.
 
nataka kwenda toe to toe nawe. Ahidi tu kuwa hutakimbia mambo yakikuzidi hapa.

Swali kwako, kosa la Slaa kwenye hii issue ni lipi?

Slaa kakaa kinyumba na mke wa mtu, hilo kwangu ni kosa.Sijui katika vitabu vyako hilo unalionaje?
 
In fact kuna watu watasema anajionyesha kwamba ni sawa au hata mbaya zaidi ya Kikwete.
.

On what aspect Kiranga?
is that has to do with control economy,corruption and all good plan as what we all need .Cuz this is what this election is all about.

My vote go to SLAA unless some one convince me he is incompetent is major issues !

Kama watu wanatuletea mchezo wa kuigiza kututoa kwenye issue kubwa no matter hiyo drama ina ukweli kiasi gani dont be carried away.
We used on this kind of smear bila hiyo tungekuwa na wakina salim rais wa TZ sasa.
 
Can you prove that?

Mkandara,

Umegundua Kiranga ameanza kubadilisha matumizi ya maneno yake? Ameanza kugundua kuwa Slaa hajasema kokote kuwa alikuwa kamuoa huyo mwanamke (wakati akiwa bado ni mke wa mtu wa mwingine) kama ambavyo waongo wengi hapa na bongo wanataka iaminiwe. Sasa ameanza kutumia maneno kama potential, kukaa kinyumba etc.

Hapa Kiranga ameuvaa mkenge
 
Vitabu vyangu (katiba ya Tanzania) havisemi kama kukaa kinyumba na mke wa mtu ni kosa. Wewe unatumia kitabu gani?

Kama unaongea katiba ya Tanzania unaongea sheria za Tanzania, kama unaongea sheria za Tanzania hapa kuna kesi, ndio maana mambo yako mahakamani.

Halafu just because kitu hakipo katika katiba haimaanishi kwamba ni poa. Wewe unayesema kwamba katika vitabu vyako hili si kosa, mtu kuja kuchukua mke wako ni poa tu?
 
Mkandara,

Umegundua Kiranga ameanza kubadilisha matumizi ya maneno yake? Ameanza kugundua kuwa Slaa hajasema kokote kuwa alikuwa kamuoa huyo mwanamke (wakati akiwa bado ni mke wa mtu wa mwingine) kama ambavyo waongo wengi hapa na bongo wanataka iaminiwe. Sasa ameanza kutumia maneno kama potential, kukaa kinyumba etc.

Hapa Kiranga ameuvaa mkenge

Huhitaji kuoa mtu kuingilia ndoa ya mtu. Ukishakaa kinyumba na mtu ambaye ameolewa na bado hajatalikika kwangu mimi ni tatizo kubwa sana tu. Hata kama ni kwa siku moja tu.
 
On what aspect Kiranga?
is that has to do with control economy,corruption and all good plan as what we all need .Cuz this is what this election is all about.

My vote go to SLAA unless some one convince me he is incompetent is major issues !

Kama watu wanatuletea mchezo wa kuigiza kututoa kwenye issue kubwa no matter hiyo drama ina ukweli kiasi gani dont be carried away.
We used on this kind of smear bila hiyo tungekuwa na wakina salim rais wa TZ sasa.

Kikwete hana kesi mahakamani inayohusu yeye kumuingilia mtu katika ndoa yake. Mtu kachukua mke wa mtu mwingine na mwanamke katoka kusema, Slaa hajajibu maswali, na wewe bado unaita hii smear ?
 
Kama unaongea katiba ya Tanzania unaongea sheria za Tanzania, kama unaongea sheria za Tanzania hapa kuna kesi, ndio maana mambo yako mahakamani.

Kiranga hakuna spin hapa,

Kosa la Slaa kikatiba ni lipi?
BTW - ameshtakiwa kwa kosa gani?

Halafu just because kitu hakipo katika katiba haimaanishi kwamba ni poa. Wewe unayesema kwamba katika vitabu vyako hili si kosa, mtu kuja kuchukua mke wako ni poa tu?

Kama tusipofuata katiba then hatuna understanding yoyote ya kuendesha huu mjadala (kivitabu kwa msemo wako). Unaweza tu kuleta kitabu kingine unachopenda na tukakitumia.

Kwa sasa swali kwako ni kuwa, Slaa kosa lake ni lipi?
 
Huhitaji kuoa mtu kuingilia ndoa ya mtu. Ukishakaa kinyumba na mtu ambaye ameolewa na bado hajatalikika kwangu mimi ni tatizo kubwa sana tu. Hata kama ni kwa siku moja tu.

Kwa hiyo unataka standard zako (kama kiranga) zitumike kuendesha nchi yetu.
Yaani kwa vile fanatics kama wewe mna matatizo na watu wanaofurahia maisha yao ya utu uzima basi kila mtu hilo liwe tatizo.

kiranga umeanza kuishiwa sasa.
 
Kiranga,
isiwe poa kivipi? maanake mke ni yule unayeishi naye sio maswala ya Mengi kumwacha yule mama halafu wajomba wachangamkie aanze kudai ni mkewe hali yeye anapeta.

Huyu jamaa nakuhakikishia ana mke au kinyumba pia. Kosa lake mwenyewe halioni isipokuwa la mkewe na kwa sababu Dr rais mtarajiwa kachukua vitu jumla imekuwa nongwa.
Na kichwa kama wewe nilitarajia kwamba utaunganisha 2+3 vizuri tu kumbe nawe unatupa hesabu za Kingwendu..
 
Kikwete hana kesi mahakamani inayohusu yeye kumuingilia mtu katika ndoa yake. Mtu kachukua mke wa mtu mwingine na mwanamke katoka kusema, Slaa hajajibu maswali, na wewe bado unaita hii smear ?

Slaa kajibu swali. Yeye ndiye alitoa interview kwenye media kuhusu mchumba wake. Alimleta mchumba wake kwenye kampeni zake na kumtambulisha.

Maswali yapi hayo unayotaka ayajibu?

Swali langu la msingi kwako, kosa la Slaa ni lipi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom