Video: Si kuibiwa ni kuzidiwa!

Status
Not open for further replies.
Hii bado haijampa uhalali yeyote kuishi na mke wa mtu. Mahakama inapotaka kujiridhisha ili itupe kesi kwa kifungu hiki, inatazama kama matendo ya mlalamikaji yamesabibisha mke/mume akimbie. "matendo"hapa yanaweza kuwa ya namna nyingi, makubwa ikiwa ni ukatili (cruelty),kukosa huduma za kifamilia (maintanance) au kukimbia (desertion) n.k...mahakama haijiridhi kwa kuambiwa maneno matupu panataka ushahidi...kwa kawaida yanapotekea mambo hayo katika ndoa hualeta migogoro, ambayo kabla ya mke/mume kwenda mahakamani kutaka, mathalani kutengua ndoa au usuluhishi, lazima apitie katika mabaraza ya usuluhishi, ambayo yakishindwa ndiyo anaweza kwenda mahakamani. Mahakama inapotaka kujiridhisha "matendo" ya malalamikaji kama yamechangia kitendo cha mlalamikiwa, inaangalia hali zote hizo.

Junius.. naona unakwepa kipengele cha kwanza.. hakuna kosa la kuishi na mke wa mtu...
 
Yaani inashangaza jukwaa limeshushwa hadhi yake ghafla moja kwa watu wazima wanaojiita wasomi, wachambuzi wa masuala tete ya kinchi na jamii...wanatetea uzinzi na uvunjifu wa maadili? pooooooghghgh...!!! pooooghgh...!!! poooooghgh...!!!

Huko ndiko KUISHIWA kwenyewe!
 
Mi nashangaa hawa Slaa apologists wanavyokuja hapa na kutetea hili.

Our peoples are unsophisticated, watauliza maswali mawili tu kuhusu swala hili.

1. Huyu mwanamke alikuwa kaolewa bado ? Ndiyo
2. Na Slaa alikaa naye kinyumba ? Ndiyo
Jibu watakalolipata hapo ni kwamba Slaa hafai kuwa rais. Our peoples are rather conservative, even to my liking.
Kwa nini Slaa ameji shoot himself in the foot like this ?

Hapo ndipo napingana na Kiranga na Junius!

Yaani Slaa hafai kuwa Rais wa Tanzania kwa sababu tu katangaza uchumba wa mke ambaye kesi ipo mahakamani?Mna uhakika gani kama Dr Slaa na mchumba wake hawana ushaidi utakaofanya washinde kesi hii mahakamani?

Mbona mnaamua kesi hii mapema sana bila kungoja mahakama itapelekewa nini kama vielelezo vya ushahidi wa Dr Slaa na mchumba wake?Nyie mna mambo yenu zaidi ya haya mnayomuweka Dr Slaa kwenye kundi la wasiofaa;kesi hii ime trigger to some extent dhamira yenu!

Nasisitiza tena iachieni mahakama itoe hukumu yake ndipo muwe na points za kuandika kuhusu kumuondoa Dr Slaa kama Rais asiye na sifa
 
dhana ya kuiba mke au mume naikataa. Haipo. Huyo mwanamke kaingia kwenye mahusiano na slaa kwa hiyari na ridhaa yake mwenyewe. Kama kaibwa si arudi huko alikoibiwa? Kinachomzuia ni nini? Kwani kafungwa kamba?

mume au mke huwa haibwi kwani mume au mke si mali (property). kwa hiyo nakataa mlinganisho wako wa wizi za mali za umma na mambo
ya kimapenzi ambayo wengi wetu huridhia kuingia.


tuko pamoja!
 
Junius.. naona unakwepa kipengele cha kwanza.. hakuna kosa la kuishi na mke wa mtu...

MKJJ, hivi vitu viko kwenye records...

9_mke_wa_


Mgombea Urais wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr. Willbrod Slaa akimtambulisha rasmi mke wake mbele ya maelfu ya watu waliofika kwenye uzinduzi wa kampeni na ilani ya chama hicho jioni ya leo katika viwanja vya jangwani,jijini Dar.

Sasa ukitaka weka video ya Slaa alipokua Jangwani na Hanang (mbulu) utapata jibu...Haya mambo sio muhimu sana kwangu, lakini tusijaribu kupotosha kile kilichotokea...Binafsi, uongo sipendi
 
mapambano kosa la Dr. Slaa kisheria ni lipi?

MJKK, mpaka sasa hivi Slaa anashutumiwa tu, kwa hiyo hana kosa mpaka mahakama itapomuhukumu. Kitu ambacho kinanitatiza ni kauli aliyoitoa alipokuwa Jangwani na ile aliyoitoa mbulu...haziendani. Japo si swala la msingi na naamini chadema wangeweza kulimaliza kiufundi. Kimaadili Slaa watakao muhukumu ni watanzania. Sasa tunaweza kubishana kuwa alisema ni mchumba sio mke nk. Baadala yake nikasema ziwekwe video za kampeni alipokua Jangwani na alipokwenda Hanang...Hii itaondoa mtu wa kati
 



Sheria ya ndoa (1971) inasema hivi (msisitizo wangu):


73.-(1) A husband or wife may bring a suit for damages against
any person who has, for any reason, enticed or induced his or her
for spouse to desert him or her.
(2) A suit brought under this section shall be dismissed if the court
is satisfied that the conduct of the plaintiff has been such as to justify
or excuse his or her spouse leaving the matrimonial home
.

MMKJJ katuwekea kilakitu hapa.Hebu tudadavue sasa.
Kufuatana na kifungu hiki...Mahimbo atashinda vipi hapo kwenye bold!
 
Last edited by a moderator:
Mwanakijiji you made my day!

if the truth be told; jamaa kapata mtaji. Hakuna mwanamke mwenye akili atakaa na mwanaume ambaye akizidiwa, na mwenzake atafungua kesi mahakamani; yaani mtu atajirikie out of somebody else's sin? hiyo si ndiyo bloody money? Now which one is the better evil; Slaa aliyeamua kuweka open, au jamaa aanaye invest katika huu uovu?
Yet again, kati ya Slaa na 98% ya wanaume wa kibongo wenye vijumba vidogo mpaka vya wanafunzi, nani afadhali; yote ni mbaya, sasa ya Slaa isiwe ya kushikia kibendera.

My advise
Man, swallow your pride and cool off; bibie is just throwing her cards, who knows, your kids may well end up being watoto wa 'Rais'

In Jesus' time, hii ingekuwa " ASIYE NA DHAMBI NA AWE WA KWANZA KUMTUPIA JIWE"

Afadhali ni hiyo 2% iliyobaki siyo slaa wala hyo 98%.
 
MJKK, mpaka sasa hivi Slaa anashutumiwa tu, kwa hiyo hana kosa mpaka mahakama itapomuhukumu. Kitu ambacho kinanitatiza ni kauli aliyoitoa alipokuwa Jangwani na ile aliyoitoa mbulu...haziendani. Japo si swala la msingi na naamini chadema wangeweza kulimaliza kiufundi. Kimaadili Slaa watakao muhukumu ni watanzania. Sasa tunaweza kubishana kuwa alisema ni mchumba sio mke nk. Baadala yake nikasema ziwekwe video za kampeni alipokua Jangwani na alipokwenda Hanang...Hii itaondoa mtu wa kati

to me it really doesn't matter.. naweza kusema mimi mke wangu ni Salma na kutangaza kuwa mchumba wangu ni Salma.. hata nikitangaza hivyo huwezi kunishtaki kwa kosa la kuwa na mke wa mtu!! Na kama Salma atakuwa pembeni yangu wakati akitangaza hivyo na asikubali kusahihisha au kukwazika nyie wengine mnakwazika kwa misingi ipi?
 
Kwa maana nyingine,

wewe unachagua raisi ambaye kaleta EPA, Richmond, Deep Green, Meremeta, Buzwagi, IPTL, Bulyanhulu, Dowans, TICTS, kamaliza surplus yote BoT - Jakaya Kikwete.
Hivi wagombea uraisi ni wawili tu???!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom