Video of JK and GWB

Kuna topic nyingine inazungumzia habari ya safari hii(kabla hajaondoka). Kuna mtu alisema hiyo ni state visit. Mimi nikamuulliza "ana uhakika kama ni state visit".

Sikuwazia hata mara moja JK anaweza kupewa hiyo heshima huko US. Wamerikani hawawezi kujishushia hadhi kiasi hicho. Kwa lipi hasa?
 
Sikuwazia hata mara moja JK anaweza kupewa hiyo heshima huko US. Wamerikani hawawezi kujishushia hadhi kiasi hicho. Kwa lipi hasa?

Mkuu, nami nashangaa hasa na hii status yetu ya omba omba kila wakati mtu unalia shida .. mtu ukiishi na jirani ombaomba unachoka wallahi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom