Wun
JF-Expert Member
- Jun 16, 2008
- 358
- 72
Wa JF ni lazima tutumiye maneno ya hekima tutapomzungumzi RAIS WETU kumuita RAIS mwenda azim huyu siyo baba yako au rafiki yako bali ni RAIS wa nchi yetu ambaye tumemchanguwa sisi wenyewe kwa kura zetu.Mimi nina unga mkono RAIS kwenda USA hata mara 100 siyo tatizo RAIS anania njema tuu na TZ kwenda USA kwanza inaisaidia TZ kwa kupata misaada kutoka USA kwa wengi sana tofauti na kipindi cha RAIS mkapa kama mnachuki zetu binafsi semeni.RAIS KIKWETE NI RAIS BORA TOKEYA AINGIYE IKULU