Mkuu kwa kizazi hiki hatatokea,waliopo wanatumia nguvu tu kujifananisha nae.Hahaha Mwl Nyerere alikuwa kiboko ,yaani yupo kama Gulfstream Jet ni ndogo kiumbo ila very powerful
Itachukua muda kupata watu wa aina yake
R.I.P Mwl Nyerere
Umri wangu sisemi. Ila nina umri unaoniruhusu tena zaidi kugombea urais TzMkuu Mwl Nyerere akuwa Kiongozi wa nchi lkn kumbuka alikuwa na ushawishi mkubwa ndani ya nchi..
Sorry..
Una umri gani?
Vizuri sana..Umri wangu sisemi. Ila nina umri unaoniruhusu tena zaidi kugombea urais Tz
Ilitokea jaribio la Mapinduzi ya Kumpindua Chiluba,Askari wa vyeo vya chini wakiwa na AK47 waliizingira nyumba na makazi ya Chiluba huku wakimtaka aachie madaraka.Hiyo ilikuwa ni mwezi October ya 1997.Kaunda alifanya ninj mpka akafungwa. Wakongwe tujuzeni
Aisee! Shukrani sana comrade..Ilitokea jaribio la Mapinduzi ya Kumpindua Chiluba,Askari wa vyeo vya chini wakiwa na AK47 waliizingira nyumba na makazi ya Chiluba huku wakimtaka aachie madaraka.Hiyo ilikuwa ni mwezi October ya 1997.
Wakati haya yanatokea,Dr Kaunda alikuwa nje ya nchi kwa ziara ya zaidi ya miezi miwili ktk nchi za Z'bwe na S.Afrika kwa marafiki zake.Yale "mapinduzi" hayakufanikiwa,na Chiluba aliyahusisha na mkono wa Kaunda.Hivyo alivizia Kaunda aliporudi Zambia akamkamata.
Kaunda alikamatwa siku ya sikukuu ya Chrismass ya mwaka 1997,na akapelekwa kwenye gereza moja eneo la Kabwe.Kukamatwa kwake kulizua taharuki kwa wafuasi wake na sikukuu iliharibika sbb Zambia ni nchi ya Kikristo,hivyo ni kama sherehe iliingia mchanga kwa wale wanaompenda Kaunda na hata wale waliokuwa wanamuheshimu kama "Baba wa Taifa"
Nyerere na jamaa yake Mgabe waliumia sana,wakaamua kumuomba Chiluba amuachie Kaunda mara moja,na Mwalimu aliposikia Kaunda kagoma kula,akafunga safari akiwa na Mama Nyerere mpaka gerezani.Kaunda alilia sana kumuona Mwalimu.Na kwa sbb Kaunda alikuwa amegoma kula wala kunywa,Nyerere alibeba sharubati ya chungwa na biskuti pamoja na maji.Na alipofika gerezani akamwambia Kaunda wale wote,lkn nia ya Nyerere ilikuwa ni kumfanya Kaunda aanze kula.Hata Waandishi wa Habari walipomuuliza Nyerere kaongea nini na Kaunda,Nyerere aliwajibu "We had a nice drink of juice and a little biscuits.We broke his fast together"
Baada ya hapo,Chiluba alimtoa Kaunda ndani,na akamuweka nyumbani kwake kizuizini,na kukataza mtu asifike aneo la mita 100 toka nyumbani kwa Kaunda.
Malipo ni hapa hapa,Chiluba akaja kushitakiwa na Levy Mwanawasa kwa rushwa,mkewe Regina Chiluba akafungwa kwa ufujaji wa mali za nchi,na hatimaye Chiluba alikufa 2011 huku Kaunda akiendekea kula maisha.
Ukitaka kujua "feelings" za Kaunda kwa Mwalimu,angalia mazishi ya Mandela;ilikuwa kifo cha Mandela,lkn sehemu ya hotuba yake alimzungumzia sana Mwalimu na Mama Maria Nyerere.
Siku hizi tuna viongozi,ushawishi wao hauvuki hata Kisiwa cha Chumbe
Ilitokea jaribio la Mapinduzi ya Kumpindua Chiluba,Askari wa vyeo vya chini wakiwa na AK47 waliizingira nyumba na makazi ya Chiluba huku wakimtaka aachie madaraka.Hiyo ilikuwa ni mwezi October ya 1997.
Wakati haya yanatokea,Dr Kaunda alikuwa nje ya nchi kwa ziara ya zaidi ya miezi miwili ktk nchi za Z'bwe na S.Afrika kwa marafiki zake.Yale "mapinduzi" hayakufanikiwa,na Chiluba aliyahusisha na mkono wa Kaunda.Hivyo alivizia Kaunda aliporudi Zambia akamkamata.
Kaunda alikamatwa siku ya sikukuu ya Chrismass ya mwaka 1997,na akapelekwa kwenye gereza moja eneo la Kabwe.Kukamatwa kwake kulizua taharuki kwa wafuasi wake na sikukuu iliharibika sbb Zambia ni nchi ya Kikristo,hivyo ni kama sherehe iliingia mchanga kwa wale wanaompenda Kaunda na hata wale waliokuwa wanamuheshimu kama "Baba wa Taifa"
Nyerere na jamaa yake Mgabe waliumia sana,wakaamua kumuomba Chiluba amuachie Kaunda mara moja,na Mwalimu aliposikia Kaunda kagoma kula,akafunga safari akiwa na Mama Nyerere mpaka gerezani.Kaunda alilia sana kumuona Mwalimu.Na kwa sbb Kaunda alikuwa amegoma kula wala kunywa,Nyerere alibeba sharubati ya chungwa na biskuti pamoja na maji.Na alipofika gerezani akamwambia Kaunda wale wote,lkn nia ya Nyerere ilikuwa ni kumfanya Kaunda aanze kula.Hata Waandishi wa Habari walipomuuliza Nyerere kaongea nini na Kaunda,Nyerere aliwajibu "We had a nice drink of juice and a little biscuits.We broke his fast together"
Baada ya hapo,Chiluba alimtoa Kaunda ndani,na akamuweka nyumbani kwake kizuizini,na kukataza mtu asifike aneo la mita 100 toka nyumbani kwa Kaunda.
Malipo ni hapa hapa,Chiluba akaja kushitakiwa na Levy Mwanawasa kwa rushwa,mkewe Regina Chiluba akafungwa kwa ufujaji wa mali za nchi,na hatimaye Chiluba alikufa 2011 huku Kaunda akiendekea kula maisha.
Ukitaka kujua "feelings" za Kaunda kwa Mwalimu,angalia mazishi ya Mandela;ilikuwa kifo cha Mandela,lkn sehemu ya hotuba yake alimzungumzia sana Mwalimu na Mama Maria Nyerere.
Siku hizi tuna viongozi,ushawishi wao hauvuki hata Kisiwa cha Chumbe
Hapa nimepata kitu. Ahsante sana kaka mkubwaIlitokea jaribio la Mapinduzi ya Kumpindua Chiluba,Askari wa vyeo vya chini wakiwa na AK47 waliizingira nyumba na makazi ya Chiluba huku wakimtaka aachie madaraka.Hiyo ilikuwa ni mwezi October ya 1997.
Wakati haya yanatokea,Dr Kaunda alikuwa nje ya nchi kwa ziara ya zaidi ya miezi miwili ktk nchi za Z'bwe na S.Afrika kwa marafiki zake.Yale "mapinduzi" hayakufanikiwa,na Chiluba aliyahusisha na mkono wa Kaunda.Hivyo alivizia Kaunda aliporudi Zambia akamkamata.
Kaunda alikamatwa siku ya sikukuu ya Chrismass ya mwaka 1997,na akapelekwa kwenye gereza moja eneo la Kabwe.Kukamatwa kwake kulizua taharuki kwa wafuasi wake na sikukuu iliharibika sbb Zambia ni nchi ya Kikristo,hivyo ni kama sherehe iliingia mchanga kwa wale wanaompenda Kaunda na hata wale waliokuwa wanamuheshimu kama "Baba wa Taifa"
Nyerere na jamaa yake Mgabe waliumia sana,wakaamua kumuomba Chiluba amuachie Kaunda mara moja,na Mwalimu aliposikia Kaunda kagoma kula,akafunga safari akiwa na Mama Nyerere mpaka gerezani.Kaunda alilia sana kumuona Mwalimu.Na kwa sbb Kaunda alikuwa amegoma kula wala kunywa,Nyerere alibeba sharubati ya chungwa na biskuti pamoja na maji.Na alipofika gerezani akamwambia Kaunda wale wote,lkn nia ya Nyerere ilikuwa ni kumfanya Kaunda aanze kula.Hata Waandishi wa Habari walipomuuliza Nyerere kaongea nini na Kaunda,Nyerere aliwajibu "We had a nice drink of juice and a little biscuits.We broke his fast together"
Baada ya hapo,Chiluba alimtoa Kaunda ndani,na akamuweka nyumbani kwake kizuizini,na kukataza mtu asifike aneo la mita 100 toka nyumbani kwa Kaunda.
Malipo ni hapa hapa,Chiluba akaja kushitakiwa na Levy Mwanawasa kwa rushwa,mkewe Regina Chiluba akafungwa kwa ufujaji wa mali za nchi,na hatimaye Chiluba alikufa 2011 huku Kaunda akiendekea kula maisha.
Ukitaka kujua "feelings" za Kaunda kwa Mwalimu,angalia mazishi ya Mandela;ilikuwa kifo cha Mandela,lkn sehemu ya hotuba yake alimzungumzia sana Mwalimu na Mama Maria Nyerere.
Siku hizi tuna viongozi,ushawishi wao hauvuki hata Kisiwa cha Chumbe
Jamaa una utaniNimeangalia chumba alichokua anaishi Kaunda nikapata huruma kimtindo.. Yaani Rais kuishi katika kile kichumba.. Sipati picha huko Rumande aliko Lema kukoje
Nyerere nyerere nyerere, je marais wengine wanaweza kuyafanya haya?? Basi kama unavyoona Brazil wana Pele katika soka basi Tanzania tuna Nyerere hafiKubwa kuliko yote ni hoja alizojenga UN kushinikiza CHINA ipewe hadhi ya KURA YA VETO ambayo initially walipewa zile nchi zilizokuwa kwenye kundi la washindi wakati wa WW2.
Wakati huo no nation could foresee that one day CHINA would endanger US position as World's Superpower. Jambo hilo ni bahati ya mtende kwa taifa la China hasa wakati huu ambapo foreign policy ya CHINA inavyokinzana na ile ya Marekani. Kwahiyo, CHINA ana nguvu ya ku-veto maamuzi yoyote kule UN(na mabaraza yake) ambayo yako kinyume na maslahi yake.
Jambo hili ni chungu mno kwa Marekani.