Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,488
- 86,004
http://www.youtube.com/watch?v=9OXCStY7yXI
Nimesikitishwa sana na taarifa hii, kama una PC waweza fuata link hii hapa chini na kuona jinsi Najiba (22yrs) alivyouwawa kwa kupigwa risasi mfululizo baada ya kutuhumiwa kuwa amekuwa na mahusiano nje ya ndoa, huku Wazinzi hao (males) wakitekeleza mauaji hayo as if ni haki kufanya hivyo. Hizi ni baadhi ya picha za wanaume wakish an galia na huyu Muuaji akitekeleza unyama huu in the name of Dini
Chini hapa ni rundo la wanaume wakishangalia unyama huu, stori yake unapata hapa 'We cannot forgive her, God tells us to finish her': video shows public execution of woman, 22, in Afghanistan after adultery allegations