Mtu mweusi auawa Marekani na askari mweupe

ila hii inaitwa piga nikupige ,nasikia huko kwa kina Nyani Ngadu polisi akikuambia mikono juu weka juu kweli ukiiweka mfukoni anakuwasha sasa inawezekana jamaa hakutaka kufuata sheria bila shuruti

Ndivyo inavyotakiwa.

Hivi unajua ni mapolisi wangapi wanauliwa kwenye line of duty?

Nani humu huko mavumbini huwa anakuja kulilia polisi weusi wa Marekani wanaouwawa na wahalifu weusi?

Huyu hapa kauliwa mwaka huu tu mwezi wa pili...tena kauliwa na mweusi. Nani alikuja kumlilia humu?

Kazi ya upolisi Marekani ni ngumu mno. Halafu kuna mapolisi kibao tu weusi wanaowaua watu weusi lakini watu huwa hawaji kulialia humu na wala hutasikia chochote popote pale.

Is black on black crime also the agenda of the KKK?
You may be living in the US, yet you may no nothing. The Kkk was established by the groups of blacks and white aimed at stopping any effort for black struggle against segregation from whites,

This is too political issue since even a Republican presidential expected candidate D. Trump is said to be a member of this society, but on your side nothing bad coz niggers are too tolerant even when they are humiliated.
Mugabe once told the whites that Africa is for the Africans.... ,
no wonder USA is for whites and some darker slaves like you, yu we be killed like Street dogs unless you remember your ancestral root, Africa a continent of ours.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Do you know what precedent means?

And what makes you think I'm static and not mobile?
you'd better stick to what we've been discussing I believe whatever I publish here corresponds to what you're supposed to reply if otherwise you'd better dig into clearer synonymic syntax and familiarize yourself with that tougher vocabulary your side,by the way convey my greetings to all there @ USA baby and CBE too,...this conversation am sure will remind you that the deceiver can forget what he previously said and blank out that he set out to mislead himself while dis-remembering that those who were told lies do recall everything. USA baby:D:D:D
 
Harufu ya kibaguzi haimaanishi sababu ya mauaji ni ubaguzi wa rangi.

Mpaka niione hiyo ripoti niisome mwenyewe ndiyo nitaweza kuitolea maoni maana kwanza hilo gazeti ni la mrengo wa kushoto. Kwa hiyo ni lazima kuisoma hiyo ripoti kwa jicho la tatu kwa sababu huenda ikawa iliandikwa kisiasa.

Kwa taarifa yako, vyombo vingi vya habari vya Marekani vimekaa kisiasa zaidi....lakini sitegemei ulijue hilo.

Na kuhusu sababu, well, hivi unajua kwamba sehemu zinazoongoza kwa uhalifu nyingi ni za African Americans? Wewe mwenyewe na weusi wako huo nakuhakikishia kuna sehemu nyingi tu za weusi huwezi hata kuthubutu kutembea peke yako...iwe mchana au usiku. Lakini kuna sehemu nyingi tu za weupe ambazo utajisikia amani hata kutembea peke yako muda wowote ule.

Kuna sehemu za weusi mpaka hata polisi wameshazikacha..hawaendi tena maana watu wenyewe hawataki hata kuishi kwa amani wenyewe kwa wenyewe.

Pointi yangu ni nini hapo? Pointi yangu ni kwamba kuna idadi kubwa sana ya watu weusi wafanyao uhalifu.

Mbona mauaji ya wazungu yasiyokuwa na sababu maalumu huwa hata hamyaongelei? Nimekuwekea hapo links za weupe waliouwawa tena wengine waliouwawa na polisi weusi...sijawahi kukuona ukija kulalama hapa na nahisi wala ulikuwa hujui!

Weusi ni wageni Marekani? Kumbe hujui hata historia vizuri. Weusi wamekuwepo Marekani kabla hata Marekani haijawa nchi. Jifunze historia.

Na kuhusu kelele...sababu kubwa ni kwa sababu ni Marekani tu. Ingekuwa yanatokea huko kwingine wala hata msingekuwa mnakuja kujiliza humu na kujifanya mmeguswa sana.

Kuhusu u-minority....hao hao unaowaita minority ndo wanaongoza kwa crime kama ukiziangalia takwimu proportionally. Na hapo juu nimekwambia hata wewe mwenyewe kuna neighborhoods nyingi tu za weusi wenzio ambazo huwezi hata kuthubutu kutembea peke yako au hata na mwenzako mchana...achilia mbali usiku.

Ah wapi...sidhani hata kidogo. Huwezi kulinganisha Tanzania na Marekani kivile. Haya yanayotokea Marekani mnajali tu kwa sababu ni Marekani. Yangetokea North Korea huko wala msingehangaika.
1. Niambie wewe basi, sababu ya shootings za unarmed blacks ni nini. Ukizingatia wao ndo wanaongoza kupigwa risasi unarmed.

2. Nitatafuta namna ya kukutumia hiyo ripoti. Na swala la kwamba inawezekana hiyo ripoti imeandikwa kisiasi, hata baadhi ya link ulizoweka hapa zinaonekana zimeegemea upande mmoja.

Kuhusu uhalifu, kwa hiyo unataka kuniambia watu weusi wanapigwa risasi unarmed kwa sababu wanashukiwa ni wahalifu au wanaishi maeneo yaliyoshamiri kwa uhalifu?

3. Ni kweli tunajali yanayotokea marekani lakini pia na kwingineko. Mauaji yanayotokea India ya watu weusi tunayapigia kelele kila siku.
 
Hivi marekani kuuana ni issue simple sana eenh? Yaani kama movie vile aisee.

So sad!

Marekani nini wakati kuna watu huko kwingine wanakufa kwa mafungu?

Cheki hii juzi tu huko Baghdad....

Huko Pakistan huwa wanavamia hadi shule za watoto na kuua mamia....cheki hiyo...

Halafu unauliza kama kuuana Marekani ni issue simple? Acha masikhara bana!

Kuna sehemu hapa duniani watu kufa kwa mafungu ni jambo la kawaida mno na wala halistui kabisa.
 
you'd better stick to what we've been discussing I believe whatever I publish here corresponds to what you're supposed to reply if otherwise you'd better dig into clearer synonymic syntax and familiarize yourself with that tougher vocabulary your side,by the way convey my greetings to all there @ USA baby and CBE too,...this conversation am sure will remind you that the deceiver can forget what he previously said and blank out that he set out to mislead himself while dis-remembering that those who were told lies do recall everything. USA baby:D:D:D

Gibberish!
 
1. Niambie wewe basi, sababu ya shootings za unarmed blacks ni nini.

Sababu haipo moja tu na ndiyo maana hata Civil Rights Division ya Justice Department inayoongozwa na mama mweusi, Loreta Lynch na iliyokuwa inaongozwa na mtu mweusi mwingine, Eric Holder, ikifanya uchunguzi huwa inapendekeza no charges kwa officers involved na kwa wengine inapendekeza charges.

Mfano ni mauaji ya Michael Brown kule Ferguson, Missouri. Unadhani ni nani alifanya uchunguzi wa yale mauaji na matokeo yake yalikuwaje? Unaweza kunipa jibu au utakwepa?

Na yule polisi [Michael Slager] aliyemmiminia risasi za mgongo yule jamaa wa South Carolina [Walter Scott] unajua amekuwa charged na kosa gani?

Sasa sikatai, kwa sababu sababu zipo nyingi na tofauti tofauti na zingine zikiwemo ubaguzi wa rangi. Lakini kamwe huwezi kusema sababu zote ni ubaguzi wa rangi. If you do that you would not only be wrong but also downright disingenuous.

Au wewe bila hata uchunguzi, bila hata kusikia side of the story ya hao officers involved ushahitimisha kuwa ni ubaguzi wa rangi kuwa ndo sababu? You can't be serious.

2. Nitatafuta namna ya kukutumia hiyo ripoti. Na swala la kwamba inawezekana hiyo ripoti imeandikwa kisiasi, hata baadhi ya link ulizoweka hapa zinaonekana zimeegemea upande mmoja.

Ndiyo. Mwelekeo wa kisiasa upo hata kwenye hizo, hilo wala sikatai. Lakini licha ya mwelekeo wa kisiasa kuwepo, ukweli wa kwamba hao watu wameuliwa na polisi haufutiki. Kilichopo ni namna tu ambavyo ukweli huo unavyokuwa spun ku support upande wako.

Swali kwako, je, wewe unakubali kwamba hiyo ripoti yako imeaongezwa chumvi za kisiasa au unakataa?

Kuhusu uhalifu, kwa hiyo unataka kuniambia watu weusi wanapigwa risasi unarmed kwa sababu wanashukiwa ni wahalifu au wanaishi maeneo yaliyoshamiri kwa uhalifu?

Hapana, sijataka kukuambia hivyo.

Halafu, kwa taarifa yako tu [maana naona hujui], kuna mapolisi weusi wengi tu wanaowapiga risasi watu weusi na kuwaua. Hilo unalizungumziaje? Au hakuna mapolisi weusi Marekani wanaowaua watu weusi wasio na silaha? Hao nao ni wabaguzi?

3. Ni kweli tunajali yanayotokea marekani lakini pia na kwingineko. Mauaji yanayotokea India ya watu weusi tunayapigia kelele kila siku.

Ah wapi...kelele mmpigazo kuhusu weusi wanaouliwa India wala hazilingani na kelele mpigazo kuhusu Marekani.

India na Marekani wapi na wapi?
 
You may be living in the US, yet you may no nothing. The Kkk was established by the groups of blacks and white aimed at stopping any effort for black struggle against segregation from whites,

This is too political issue since even a Republican presidential expected candidate D. Trump is said to be a member of this society, but on your side nothing bad coz niggers are too tolerant even when they are humiliated.
Mugabe once told the whites that Africa is for the Africans.... ,
no wonder USA is for whites and some darker slaves like you, yu we be killed like Street dogs unless you remember your ancestral root, Africa a continent of ours.

All I gotta do is laugh :D:D!
 
Eti USA baby! Ovyo kabisa kama mchuzi wa dagaa, black Americans wenyewe wanaandama kupinga ubaguzi huu kwa mauaji ya black! hafu Kuna black mwingine wa Kitanzania anapaka rangi ukweli!
 
Eti USA baby! Ovyo kabisa kama mchuzi wa dagaa, black Americans wenyewe wanaandama kupinga ubaguzi huu kwa mauaji ya black! hafu Kuna black mwingine wa Kitanzania anapaka rangi ukweli!

Pamoja na mapungufu yake yote USA bado ni taifa bora zaidi kushinda hilo la vumbi. Huo ndo ukweli wenyewe na ndo maana mnaishobokea USA.

Mngekuwa hamuishobokei USA mngekuwa wala hamjali yajiriyo USA.

Na wala ubaguzi wa rangi si mbaya kama ambavyo mnapenda au mnataka kuaminisha watu.

USA baby
flag_usa.gif
flag_usa.gif
flag_usa.gif
flag_usa.gif
.

Take that, take that!
 
Sababu haipo moja tu na ndiyo maana hata Civil Rights Division ya Justice Department inayoongozwa na mama mweusi, Loreta Lynch na iliyokuwa inaongozwa na mtu mweusi mwingine, Eric Holder, ikifanya uchunguzi huwa inapendekeza no charges kwa officers involved na kwa wengine inapendekeza charges.

Mfano ni mauaji ya Michael Brown kule Ferguson, Missouri. Unadhani ni nani alifanya uchunguzi wa yale mauaji na matokeo yake yalikuwaje? Unaweza kunipa jibu au utakwepa?

Na yule polisi [Michael Slager] aliyemmiminia risasi za mgongo yule jamaa wa South Carolina [Walter Scott] unajua amekuwa charged na kosa gani?

Sasa sikatai, kwa sababu sababu zipo nyingi na tofauti tofauti na zingine zikiwemo ubaguzi wa rangi. Lakini kamwe huwezi kusema sababu zote ni ubaguzi wa rangi. If you do that you would not only be wrong but also downright disingenuous.

Au wewe bila hata uchunguzi, bila hata kusikia side of the story ya hao officers involved ushahitimisha kuwa ni ubaguzi wa rangi kuwa ndo sababu? You can't be serious.

Ndiyo. Mwelekeo wa kisiasa upo hata kwenye hizo, hilo wala sikatai. Lakini licha ya mwelekeo wa kisiasa kuwepo, ukweli wa kwamba hao watu wameuliwa na polisi haufutiki. Kilichopo ni namna tu ambavyo ukweli huo unavyokuwa spun ku support upande wako.

Swali kwako, je, wewe unakubali kwamba hiyo ripoti yako imeaongezwa chumvi za kisiasa au unakataa?

Hapana, sijataka kukuambia hivyo.

Halafu, kwa taarifa yako tu [maana naona hujui], kuna mapolisi weusi wengi tu wanaowapiga risasi watu weusi na kuwaua. Hilo unalizungumziaje? Au hakuna mapolisi weusi Marekani wanaowaua watu weusi wasio na silaha? Hao nao ni wabaguzi?

Ah wapi...kelele mmpigazo kuhusu weusi wanaouliwa India wala hazilingani na kelele mpigazo kuhusu Marekani.

India na Marekani wapi na wapi?
Sijasema sababu ni moja ila kuna harufu ya ubaguzi wa rangi ktk hayo mauaji kwa sababu moja tu kwamba rate ya weusi wanaopigwa risasi unarmed ni kubwa zaidi ukilinganisha rangi nyingine yoyote. Na kumbuka blacks ni wachache.

Nataka nijue sababu ni nini hasa ili nisihisi kuwa ni ubaguzi unaendelea.

Swala la ripoti kuongezewa chumvi ya kisiasa ama la, wewe ndo unipe ukweli wa mambo kwamba chumvi ya kisiasa imeongezwa wapi hasa ili kubatilisha kilichopo kwenye ripoti. Nipe takwimu za mauaji ya weusi unarmed vs weupe unarmed.

Kuhusu kelele nadhani it's obvious kwamba kwa Tanzania mfano, wengi wanaweza kuwa na ndugu, jamaa au marafiki marekani zaidi kuliko India au Venezuela. Na hii inaweza kuwa kwa Afrika nzima. Kwa sababu za kiuchumi, kijamii, etc, watu wana connection zaidi marekani kuliko nchi nyingine.

Hivyo sioni kama kuna tatizo au ajabu kwa watu wengi kuwa concerned zaidi na marekani. Lkn ukweli ni kwamba mauaji ya India yaliongelewa.

Polisi weusi kuwaua weusi... Hiyo haibadilishi ukweli kuwa weusi wasiokuwa na silaha wanauawa zaidi kuliko wazungu.
 
It doesn't appeal to my mind that this is actually happening in USA...... Of all the countries, of all the civilizations....USA???? Unbelievable!!!
What Civilization they have!!!? this is the only crime reported...zipo killings ngapi kama hizi bila kuripotiwa.... ?
 
Sijasema sababu ni moja ila kuna harufu ya ubaguzi wa rangi ktk hayo mauaji kwa sababu moja tu kwamba rate ya weusi wanaopigwa risasi unarmed ni kubwa zaidi ukilinganisha rangi nyingine yoyote. Na kumbuka blacks ni wachache.

Nataka nijue sababu ni nini hasa ili nisihisi kuwa ni ubaguzi unaendelea.

Swala la ripoti kuongezewa chumvi ya kisiasa ama la, wewe ndo unipe ukweli wa mambo kwamba chumvi ya kisiasa imeongezwa wapi hasa ili kubatilisha kilichopo kwenye ripoti. Nipe takwimu za mauaji ya weusi unarmed vs weupe unarmed.

Kuhusu kelele nadhani it's obvious kwamba kwa Tanzania mfano, wengi wanaweza kuwa na ndugu, jamaa au marafiki marekani zaidi kuliko India au Venezuela. Na hii inaweza kuwa kwa Afrika nzima. Kwa sababu za kiuchumi, kijamii, etc, watu wana connection zaidi marekani kuliko nchi nyingine.

Hivyo sioni kama kuna tatizo au ajabu kwa watu wengi kuwa concerned zaidi na marekani. Lkn ukweli ni kwamba mauaji yaliongelewa.

Polisi weusi kuwaua weusi... Hiyo haibadilishi ukweli kuwa weusi wasiokuwa na silaha wanauawa zaidi kuliko wazungu.

Weusi wangapi ambao hawakuwa na silaha wameuwawa na polisi ukilinganisha na watu wengine waliouwawa na polisi bila kuwa na silaha?

Badala wa kusema wengi, kwa nini hautaji idadi? Taja idadi na siyo kutoa tu kauli za jumla jumla.

Unasema nikupe takwimu halafu kwa wakati huo huo ushahitimisha kwamba weusi wanaouawa ni wengi! Unashangaza.

Wewe weka takwimu zako halafu tuzijadili hapa. Kama huna sema huna na nitaelewa unaongozwa na hisia na sitakuwa na tatizo na hilo.

But saying 'wengi' doesn't cut it.

Na hilo la polisi weusi kuua weusi wasio na silaha nalo lina harufu ya ubaguzi? Naomba ujibu hili swali moja kwa moja, tafadhali.
 
Sasa mkuu mbona huchukuwi mademu huko kwa greatest country in history unakuja kutupigia ma'house girl wa Mwanza??

1] Because I believe in spreading the wealth around

2] Because I am an equal opportunity smasher. Good pussy is good pussy. Who told you house maids don't have good pussy?

3] USA baby....
 
Kuna nchi gani Afrika inayotoa benefit yoyote kwa kizazi cha waafrika waliochukuliwa Marekani wakati wa utumwa ili warudi? Wacha kukurupuka na kauli kama hizi.

Teh teh teh....hakuna atakayerudi Afrika.

Marekani pamoja na mapungufu yake ni nchi nzuri sana.

Halafu ukiwasikiliza hawa wala vumbi utadhani huko Afrika ni peponi, hakuna madhila yoyote yale.

Wanachekesha kweli.
 
Back
Top Bottom