Video: Mtalimbo Umelala umelala doro

ni nomaa mazee, unatumia mbinu zote bado holaaa!! nyonya kitovu bana, hata kama umelala doro kiasi gani 90 Degrees lazima

We mshiki wewe! Ohoooo! Shauri yako! Kuna mitarimbo mingine hata uinyanyue kwa winchi haikubali kunyanyuka!
 
Mchumba na mimi nataka kuujua mtarimbo,kwani ndio kitu gani? au chakula?

teh teh teh ZD unataka kuujua mtarimbo? eti unafikiri ni chakula lol! yawezekana ila kuwa ni chakula,lakini si chakula cha mwili kama unavyokula vyakula vingine,chenyewe ni tofauti kabisaa
ila nina imani huwa unakula
 
inawezekana mpwa Xpin HAMLISHI MTARIMBO, hebu mpwa tueleze vizuri kwanini shemejibinamu hadi leo haujui mtarimbo????
 
inawezekana mpwa Xpin HAMLISHI MTARIMBO, hebu mpwa tueleze vizuri kwanini shemejibinamu hadi leo haujui mtarimbo????

LOL! Hivi mtarimbo huwa unalishwa? Maadili ya imani yetu hayaruhusu watu kulishana mitarimbo!
 
Haya bana! Ni kining'inio cha baba! Umeelewa sasa?

kining'inio?? bwana eeh niambie mi ntafute kwenye kamusi ya TUKI hilo neno kam lipo maana nachelewa kutoa mchango sasa offtopi nyingiiii
 
Mkuu umenifumbua macho sana tu, mimi nilidhani ni ubunifu wa kijana kumbe na hii ni plajarizimu pyua.
gadner amechukua ideal tu,huo wimbo wazamani haumbwi hivyo unavyoimbwa huu wa Machozi band.
Jamani kuweni waangaifu na hao maneno yenu.
 
gadner amechukua ideal tu,huo wimbo wazamani haumbwi hivyo unavyoimbwa huu wa Machozi band.
Jamani kuweni waangaifu na hao maneno yenu.

mkubwa we pia kuwa mwangalifu na matumizi ya maneno vinginevyo utatupotosha bana
 
kining'inio?? bwana eeh niambie mi ntafute kwenye kamusi ya TUKI hilo neno kam lipo maana nachelewa kutoa mchango sasa offtopi nyingiiii
eeeeh we bht ina mana bado hujajua maana ya huo mtalimbo? ni PM nikuambie mp....zi,
 
teh teh teh ZD unataka kuujua mtarimbo? eti unafikiri ni chakula lol! yawezekana ila kuwa ni chakula,lakini si chakula cha mwili kama unavyokula vyakula vingine,chenyewe ni tofauti kabisaa
ila nina imani huwa unakula
Sasa si uniambie jamani binamu jina halisi la kiswahili sanifu,Ili niwe na uhakika ninakula nini?Mbona mafumbo yanazidi? tena unasema si chakula cha mwili,mie huwa nakula chakula cha roho(neno) kila siku,basi huu mtalimbo utakuwa chakula cha nafsi au sio? tuondoleeni utata kwa kiswahili sanifu.
 
inawezekana mpwa Xpin HAMLISHI MTARIMBO, hebu mpwa tueleze vizuri kwanini shemejibinamu hadi leo haujui mtarimbo????
Kwani huu mtarimbo mpaka mtu mwingine akulishe? wewe mwenyewe huwezi kujilisha? kwani wewe GP huwa anakulisha nani huu mtarimbo?
 
ulipo wewe,mie hata siogopi kurudi tz kwa hofu ya kunyimwa visa ya kurudi au kokasa nauri.niko bongo nakula kiulaini wala sibebi boksi

Where are my bht and ZD. Nahitaji ufafanuzi hapa, unajua mwenzenu nilipata C ya kiswahili kwenye Mock na D negative kwenye neshno ya fom foo B.
 
Back
Top Bottom