VIDEO - Mpambe wa Bwana Harusi Anapojiiba na Bi Harusi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,125
3628498.jpg

Friday, November 27, 2009 3:00 PM
Kamera za ulinzi nchini Marekani zimemnasa live mwanamke mmoja ambaye aliamua kuisaliti ndoa yake na mpambe wa bi harusi dakika chache kabla ya kukata keki ya harusi. Mwanamke huyo bila hata aibu huku akiwa amevaa shela la harusi, alionyesha kutokuwa na muaminifu wa ndoa yake hata kabla ya sherehe za harusi kumalizika kwa kujivinjari na mpambe wa bwana harusi (Best Man).

Kamera za ulinzi za ukumbi ambao harusi hiyo ilifanyika zilimwonyesha mwanamke huyo akiwa na mpambe wa bwana harusi wakibusiana na kukumbatiana wakiamini kuwa sehemu waliyojificha hakuna mtu anayewaona.

Baada ya kuona bwana harusi anakuja kwa mbali, waliacha mchezo wao na mwanamke huyo alirudi kwa mchumba wake na kuendelea na taratibu zingine za harusi kama vile hakuna kitu kinachoendelea.

Chini ni VIDEO ya tukio hilo.


VIDEO - Bi Harusi Anapojiiba na Best Man
bonyeza hapa kuiona hiyo video
http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=3628498&&Cat=2
 
Back
Top Bottom