VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha - Sehemu ya Kwanza...

Last edited by a moderator:
Haiwezekani. Kwani nini kilikuwa chanzo cha wenzetu kule Misri na Tunisia. Jamii kukosa uvumilivu dhidi ya utawala dhalimu wa serikali dhidi ya raia wao wasio kuwa na hatia. Ama kweli watanzania tu wapole na kondoo sana. Sehenu
Sehemu nyingine duniani maandamano yangekuwa yameshaeenea nchi nzima.
Wako wapi wanaharati mashujaa?

Ugum wa tz ni kwamba kuna kofia ya chama. So wasio wanacdm hawawez kuunga mkono. Ingekuwa nguvu ya umma but hii ni nguvu ya chama.
 
Tanzania chadema wanataka madaraka tu na sio wananchi wanataka mabadiliko. Itakuwa ngumu ilibidi chama kisiwepo hapo inawezekana.
 
Sawa Mkuu, kwahiyo Zanzaibar ni shwari hakuna mauaji eeh na ukuikwaji wa haki za binaadamu eeh, wale mashekhe waliomwagiwa tindikali yalikuwa ni matukio yaliyotokea Tanganyika eeh, wale mapadri matuki yao yaltokea Tanaganyika eeh. Kila la kheir
yale yalitokea zanzibar na ikasemwa hivyo kwani huwezi kupinga ukweli lakini ninapata matatizo pale ambapo mnajipachika jina la muungano kwa mambo yasiyokua ya muungano... nyinyi hapo ndo mnapigana pigana ovyo kuko nyikaz sio.... mijikabila milioni kumi... mtauana nyinyi,.. acheki kutuingiza kwenye jangaz senu.... sisi noma ikitoke amahom tunakabiliana nayo wala hatuwapachizii na nyinyi.. jiheshimuni bwana...
 
Tanzania chadema wanataka madaraka tu na sio wananchi wanataka mabadiliko. Itakuwa ngumu ilibidi chama kisiwepo hapo inawezekana.
Unaposema CHADEMA unajumuisha mamilioni ya watanzania tokea bukoba hadi dar,iringa hadi musoma, mwanza hadi kigoma , mbeya hadi manyara . Sasa nyie msiokubali ukweli mnasema kirahisi 'hawa chadema'. Ndipo yyalipo matumaini ya watanzania kupata mabadiliko ya uongozi kuondokana na huu uliopo uliopoteza mwelekeo.. Watanzania tunataka mabadilko kwa njia ya amani hatutaki kuingia msituni.
 
Mabadiliko hata mimi nayataka hata leo hii, lkn tuondoea nini na tulete nini?
Najua CCM ina matatizo lkn tuibadilishe na nini? Hao wanaopiga kelele na kukosoa CCM kutwa nzima wao wameifanyia nini Nchi yetu? Kuna lipi jipya wameleta zaidi ya kuzunguka majukwaani na kutuambia tu CCM haifai?

Mimi binafsi nataka kuona matendo kwamba niambie CCM haifai mimi nafaa kwa sababu a,b,c na nionyeshe ulichofanya na sio mdomo tu!

Haiwezekani. Kwani nini kilikuwa chanzo cha wenzetu kule Misri na Tunisia. Jamii kukosa uvumilivu dhidi ya utawala dhalimu wa serikali dhidi ya raia wao wasio kuwa na hatia. Ama kweli watanzania tu wapole na kondoo sana. Sehenu
Sehemu nyingine duniani maandamano yangekuwa yameshaeenea nchi nzima.
Wako wapi wanaharati mashujaa?

Sasa kwa taarifa yako tu Misri wanataka kurudi viwanja vya tahrir, huo Uhuru walioupigania na kufa haupo, wanajeshi wale wale ndio leo hii Bw.Mursi anawatumia kupiga Raia wake huko Misri na Tunisia nako hakuna jipya, wengine hata wanamkumbuka Mubarak!
 
yale yalitokea zanzibar na ikasemwa hivyo kwani huwezi kupinga ukweli lakini ninapata matatizo pale ambapo mnajipachika jina la muungano kwa mambo yasiyokua ya muungano... nyinyi hapo ndo mnapigana pigana ovyo kuko nyikaz sio.... mijikabila milioni kumi... mtauana nyinyi,.. acheki kutuingiza kwenye jangaz senu.... sisi noma ikitoke amahom tunakabiliana nayo wala hatuwapachizii na nyinyi.. jiheshimuni bwana...

Mkubwa, napata taaabu kukufahamu kabisaa na kwaheri
 
Utaficha vyote lakini vitu vitatu havifichiki.... Mwezi, Jua na UKWELI ... MUNGU IPONYE TANZANIA
 
Back
Top Bottom