Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIDEO-Mbowe: Hatufurahii vurugu za Mtwara ila tunapongeza ujasiri wao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtanke, Jan 30, 2013.

 1. M

  Mtanke JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2013
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 267
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 18
 2. asigwa

  asigwa JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2013
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 9,441
  Likes Received: 2,463
  Trophy Points: 113
  "sio jambo la kusifu lakini ni ujasiri wa kupongezwa" ni kauli nzito sana na ya umakini mno...seems kamanda ni great thinker sana..
  JK angekuwa na mitazamo kama ya huyu jamaa sidhani kama li chama lake lingekuwa linaporomoka umaarufu nmna hiii....
   
 3. n

  ngilenengo1 JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2013
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 625
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 18
  Naunga MKONO 100%. Napongeza kauli hii na ni ya haki kabisa. Laiti ujasiri huo wa wana Mtwara unge enenea nchi nzima ukombozi ungekuwa karibu kama sio tayari.

  BIG UP SIR MBOWE
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2013
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 8,277
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 63
  mstari mmoja neutral and sided at the same time,mbowe ni great thinker(am not sure ni msimamo wa mbowe au msimamo wa cdm)
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2013
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 23,776
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 63
  Waanhe m4c with no apology
   
 6. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2013
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,392
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 38
  Mmmm, wanaongezeka, majasiri, wanaongezeka. Damu za akina Mwangosi zinazungumza.
   
 7. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2013
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,645
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  heko mr. chairman
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2013
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,545
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  jk anawaza kusafiri mwenzake hana safari ataacha kuwaza masuala ya maendeleo kama hayo
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2013
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,545
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Safari moja inaanza nyingine wameanza mtwara sasa wanafuata mikoa mingine. Big up Mbowe kwa kauli yako yenye busara ndani yake
   
 10. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2013
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 3,982
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 38
  [video=youtube_share;_SPi39Plxq8]http://youtu.be/_SPi39Plxq8[/video]
   
 11. w

  winner forever JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2013
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 1,090
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  Uongozi siyo kutawala watu kwa njia ya propaganda,uongozi ni kupigania maslahi ya watu unawaongoza. Hongera Mwenyekiti Mbowe,hongera CDM,
   
 12. M

  Makupa JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,683
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  ipo siku viongozi wa cdm mtahukumiwa na umma kwa matamshi yenu ya hovyo
   
 13. Deshmo

  Deshmo JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2013
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 3,852
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 38
  Tunajivuna Mwenyekiti wetu,wao je?
   
 14. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2013
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 11,463
  Likes Received: 935
  Trophy Points: 113
  Hotuba yake kwa ujumla ilikuwa nzuri na motivated ukiichukulia kwa hali ya uchanya bila kuweka mawazo potofu
   
 15. C

  CHIGANGA JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2013
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 612
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanasiasa bhana.
   
 16. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2013
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,443
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 48
  Ujasiri wa Juliana Shonza anaupinga, wa Mtwara wa kuunguza Mahakama ndio anaona wa kupongezwa. Duh, kweli hapo hamna mwenyekiti!!!
   
 17. k

  kwamagombe JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2013
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Imekaa vizuri na ni mpango mzuri saana unaweza kumkwamua mtanzania. Hongera Mbowe, hongera CDM
   
 18. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2013
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 48
  Ukitafakari vibaya utaona ni uchochezi ila ukitafakari kwa upande wa pili ni motivation nzuri
   
 19. k

  kelao JF-Expert Member

  #19
  Jan 30, 2013
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 3,534
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 63
  kwa hiyo wewe unamlinganisha Mbowe na JK?
   
 20. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #20
  Jan 30, 2013
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,443
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 48
  Mwenyekiti wa chama anapongeza kitendo cha kuchoma moto mahakama na ambulance!!! Kweli kazi tunayo...
   
Loading...

Share This Page