Video: Mauaji ya kikatili Musoma (too graphical)

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=2oSFaSRPKp4&feature=player_embedded[/ame]
 
Huyu Kanali amenisikitisha sanba,badala ya kufanya kazi anabaki kumuachia mungu wahalifu wadhurike...omba afya njema na ability ya kufanya majukumu yako kaka....
 
Kwahili nadhani wa kwanza kulaumu ni jamii ya watu wa maeneo hayo... wameishi na kuvumilia ukatili kwa muda mrefu na imekua kama kalcha yao.... tumeachia serikali kila kitu

halafu wa pili kwa lawama ni serikali, yaani imeshindwa kuwa na intelligency ya ku-detect such a huge crime?? lazma ilikuwa in the making for some time, mbona baada tu ya mauaji watu wameshajua nani kafanya??

security yetu ni ya kutia shaka hasa tunapoelekea uchaguzi, lakini sisi wanajamii huko makwetu tunalea wezi na maharamia wengi sana, achilia mbali mafisadi
 
Huyu Kanali amenisikitisha sanba,badala ya kufanya kazi anabaki kumuachia mungu wahalifu wadhurike...omba afya njema na ability ya kufanya majukumu yako kaka....
sasa huyo ndio mjeshi, fikiria wachungaji na mashehe wafanye nini
tumekua legelege sana bongo!!!
 
MUNGU WANGU!! Na watoto? Hebu fikiria hako katoto kaliko nusurika jamani, ataishi vipi?
 
Huyu Kanali amenisikitisha sanba,badala ya kufanya kazi anabaki kumuachia mungu wahalifu wadhurike...omba afya njema na ability ya kufanya majukumu yako kaka....

Akamwaga na machozi kabisa...Colonel? au ni type ya Makamba...alipita Mtukula huyu kweli wakati wa IDD AMIN huyu? si angerudi mbio toka mstari wa mbele...alitakiwa kuwa bold na kuanza operesheni kusaka hao wauaji...kulia atuachie sisi tulie...badala ya kuanza kusaka wahalifu yeye yuko matangani...
 
Hivi serikali ya Tanzania haina 'killing machines' kama serikali ya Marekani? Killing machine wanafaa wapewe vitendea kazi kuwatafuta wauaji wa familia hiyo! Hao wauaji wa hiyo familia ni magaidi kwakweli. Hata wakinyongwa ni sawa tu! Potelea mbali.
 
I say, I don't blame the guy. Kwanza ni miaka mingi tangu atoke jeshi, pili jeshi la Tanzania halijawa katika hali ya kivita muda mrefu. Kingine ni kwamba hawa ni RAIA, si majangili au wanajeshi. NI WATOTO wengi wao, kuna kamoja hapo kamekufa kakiwa kwenye ziwa la mamaye. Mwingine kalala kajikunja na mama yake.

Kisasi gani hiki? Nilidhani kisasi unafanya ili kumuumiza mbaya wako, sasa hawa wameua wote pamoja na "mbaya" wao nadhani, hakuna aliyebaki zaidi ya kale katoto, Kurwa
 
Then blame the press wangeacha amalize majonzi yake na kumhoji baadae...
 
Kisasi gani hiki? Nilidhani kisasi unafanya ili kumuumiza mbaya wako, sasa hawa wameua wote pamoja na "mbaya" wao nadhani, hakuna aliyebaki zaidi ya kale katoto, Kurwa
inauma sana...
 
Hebu fikiria huyo mtoto aliyefwekwa kichwa OMG!!!

This is not TANZANIA JAMANI... lets be honest hii siyo khaaaaaa.......
 
Holly Smokes..... Whats this world coming up to?

This is not far in a million years, the murderous have to get caught and stoned to death

RIP victims
 
Mimi nadhani watu wote wa musoma wahamishwiwe sehemu tofauti tofauti, na hakuna kurudi, pia kilimo cha bangi kikomeshwe kabisa, maana hawa jamaa inawezekana kabisa wakawa wanakula bangi kama mchicha ndio maana akili zao haziwezi kufikiri, akikorofishana na wewe anawahi kuteketeza familia yako. hii ni hatari sana kwa hii jamii. Hali halisi inatisha kiukweli
 
Hivi serikali ya Tanzania haina 'killing machines' kama serikali ya Marekani? Killing machine wanafaa wapewe vitendea kazi kuwatafuta wauaji wa familia hiyo! Hao wauaji wa hiyo familia ni magaidi kwakweli. Hata wakinyongwa ni sawa tu! Potelea mbali.

Killing of innocent people is nothing but Terrorism. hapa ilitakiwa kuwekwa anti-terror squad ya Tanzania kuwasaka hawa wauaji. Siyo ku-target watu wanaokosoa serikali huu ni muda wa kukabiliana na ukatili wa aina hii.

Mkuu wa mkoa anaposema "kama ni kisasi unakifanya kwa yule aliyekukosea siyo watoto"- He was dead wrong, huwezi kushabikia maisha ya visasi kama mtu kakukosea Mahakama si zipo?, Anyway I forgive him he was talking emotionally not Rationally, maana hata Pinda naye alijikuta emotions zinamshinda na kutoa kauli tata kuhusu wauaji wa albino.
 
Killing of innocent people is nothing but Terrorism. hapa ilitakiwa kuwekwa anti-terror squad ya Tanzania kuwasaka hawa wauaji.
Siyo ku-target watu wanaokosoa serikali huu ni muda wa kukabiliana na ukatili wa aina hii.
Naimani serikali itafuatilia hili na kuachana na issue za kisasi kama za Jerry, etc​
 
haturuhusiwa kuhukumu ila wanatakiwa wapigwe wapewa deathproof halafu wasulubiwe mpaka watu wakose hamu and then hiyo proof iondolewe ili waruhusiwe kufa
 
Mimi nadhani watu wote wa musoma wahamishwiwe sehemu tofauti tofauti, na hakuna kurudi, pia kilimo cha bangi kikomeshwe kabisa....

wahamishwe wapelekwe wapi?, je hata huko si wataendelea na tabia hiyo hiyo? Nani atagharamia uhamishwaji wao?

Nadhani wengi wameuliza huyu ni kanali gani, ukweli ni kuwa pamoja na kuwa kanali wa jeshi huyu ni binadamu wa kawaida na anahisia kama mimi na wewe, na kwa bahati mbaya ameenda kuona "live", na sidhani kama eshawahi kuona unyama kama huu. Anavyozungumza anatoa hisia zake za ndani na za kibinadamu, ujeshi wake kaweka pembeni (au tuseme ameusahau).

Inasikitisha na inatisha sana, natumaini kuwa serikali itajitahidi kuwadhibiti hawa waliotenda huu unyama na pia itajitahidi kuelimisha jamii nzima ili wasiwe na tabia za kinyama hivyo.
 
Huu ni unyama wa kupindukia.watoto sasa wao wanahusika vipi?

sijui vyombo vya sheria vinashughulikia vipi hili swala.

Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi na atupe moyo wa upendo kuweza kuepukana na majanga kama haya hapo mbeleni.
 
It like a horror movie! Sijaweza maliza hii clip.....kuna binadamu wakatili sana!
 
Back
Top Bottom