Video: Kwanini tusiirejeshe jamhuri ya watu wa Zanzibar?

kuna jimbo moja lipo kwenye clip ya mwisho ..nimeupenda sana nawatakia watu wa visiwani harakati njema ..mimi naungana nao ..kama wataendesha harakati zao bila udini nina matumaini kuwa lazima wafanikiwe kwani ccm hawatakuwa na sehemu ya kuingiza chokochoko zao. kitu kingine cha wao kuuvunja muungano haraka ni kuacha kuipigia kura ccm kwao wazaznibari wachache wenye madaraka ndio pingamizi la harakati zao kama hawajui
 
nimefurahi kuona sasa umeanza kuelewa kuwa wazanzibari hawataniii.

TUNATAKA MOJA TU NALO NI NCHIYETU YENYE MAMLAKA KAMILI
 
nimefurahi kuona sasa umeanza kuelewa kuwa wazanzibari hawataniii.

TUNATAKA MOJA TU NALO NI NCHIYETU YENYE MAMLAKA KAMILI
wewe vipi..hakuna mtu ambaye haelewi hili jambo. watu wote wanajua wenye akili zao ila ..kuchoma makanisa ndio hamtaeleweka kwani kuendekeza utamaduni wa kigeni
 
wewe vipi..hakuna mtu ambaye haelewi hili jambo. watu wote wanajua wenye akili zao ila ..kuchoma makanisa ndio hamtaeleweka kwani kuendekeza utamaduni wa kigeni

makanisa wanachoma usalama wa taifa na baadhi ya vikundi vya wahuni kubadili muelekeo wa hoja
 
Back
Top Bottom