Video: Kwa misamba hii jukwaani, Nisha ana mimba kweli au ni kiki?

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Mar 25, 2016
10,522
13,110
Nimekutana na video hii huko youtube ikionesha msanii wa bongo movie aitwae Nisha ambaye hivi karibuni kunataarifa kwamba ni mjamzito(mama kijacho)akiwa jukwani akiruka sarakasi na kuchana misamba bila kujari hari yake hiyo kitu ambacho ni hatari!video
 
Mkuu unadhani kuwa mama kijacho ni kitu kidogo eeeh... waulize wwliowai kuwa unapata wapi nguvu na ujasiri wa kupiga misamba hivo
 
hela ngumu jamani lazima uitafute kwa Nguni?!!!
halafu bila kusahau nisha ni mchekeshaji!
nahisi ni moja ya vichekesho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom