Umslpogaaz
Member
- Apr 14, 2008
- 94
- 56
Video: Kova akitangaza kukamatwa kwa mtekaji wa Dr. Ulimboka
[video=youtube_share;O5eHBbINXLU]http://youtu.be/O5eHBbINXLU[/video]

grrrrrr!,wap video?
Huyu polisi alimanusara Jana nivunje tv yangu kwa hasira. Sasa unataka nivunje simu yangu mkuu?
Video: Kova akitangaza kukamatwa kwa mtekaji wa Dr. Ulimboka
[video=youtube_share;O5eHBbINXLU]http://youtu.be/O5eHBbINXLU[/video]
Tena kova Hana kigugumizi lakini Jana alikuwa Ana stack Kama cd yenye scratchKweli mkuu, hata mimi nilipandisha mori! The body language says it all, it is ****!!!
Katika suala zima la utekwaji wa Dr. Ulimboka serikali nzima ya jk na vyombo vyake vya dola wananuka! Uongo uliokubuhu hata waliokuwa wanajifanya hawana haya (kama Kova na wenzake) wamefika mahali wanashindwa kuzungumza bila kuficha nyuso zao.
SHAME ON YOU ALL!
mbona hewa!Video: Kova akitangaza kukamatwa kwa mtekaji wa Dr. Ulimboka