Video: Kigamboni kimenuka polisi watumia mabomu

3squere

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
925
181
Jeshi la polisi katika mkoa wa Kipolisi wa Temeke jijini Dar-Es-Salaam limelazimika kutumia mabomu ya machozi na risasi za moto kutawanya kundi la vijana walio kuwa wamefunga barabara ya Mjimwema Kigamboni kupinga kuondolewa katika machimbo ya kokoto ya Maweni machuva Video
 
jana kilinuka mkuu kama ukuangalia taarifa ya habari jana ungeona wananchi wamechachamaa awataki utani tena
 
Back
Top Bottom