Video- Katibu Mkuu CDM asema ''Samweli Sitta hana Ujasiri, ni Haini, Mnafiki''

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,293
24,173
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr.Wilbrod Slaa amemshukia vikali Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samwel Sitta kuwa ni mnafiki na asiyefaa kuaminiwa na jamii.
  • Hana Ujasiri
  • Haini
  • Mnafiki
  • mazungumzo kati ya CHADEMA na Sitta baada ya kuondolewa u-Spika
  • simu ya Magreth Sitta kwa niaba ya Samuel Sitta


Source: chadematv ya youtube
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom