Video:Kama Hujawahi Shuhudia bi Harusi Akifundwa, Basi hii ni Zamu Yako

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
DSC_1993.JPG


Mc Sophia anamfunda bi haruc Lilian Anamwambia kuna mchina kaleta kila kitu kasoro nyonga

Video hii hapa Chini:


http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=_DpK1tDnynY#!

[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Hivi Mbuzi Mzee, how much time do you spend online? and what do you mostly do? Curiosity has taken the best out of me.
 
Last edited by a moderator:
Hizo picha mnazotumia mmepewa ridhaa au ndio abuse?

Ni tabia mbaya kuchukua picha za watu Facebook na kuzijaza hapa.

Tafadhali ziondoeni
 
Mbuzi Mzee, hivi hivi na link zako nshaenda kufundwa, ndoa ka TV leo chenga kesho channel scrambeled, antena geuzia mjini....!
 
Chezea mc sophy wewe chotara wa kizaramo na kinubi
 
Huyo MC? Nipe contact zake nami anifunde lol

MC Sophy mambo yote.. A.k.a chumvichumvi ndo huyo mc MadameX akufunde nini??jamani usilojua loo
na mizungu yote umeijua na mingine unazidi kuigundua
na sarakasi unazijua kuzipiga loo
 
Last edited by a moderator:
Wekeni contact za huyu mama viuno!!! Ha ha mchina kaleta kila kitu isipokuwa kukata mauno!!!! MC ni abunifu sana!!
 
MC Sophy mambo yote.. A.k.a chumvichumvi ndo huyo mc MadameX akufunde nini??jamani usilojua loo
na mizungu yote umeijua na mingine unazidi kuigundua
na sarakasi unazijua kuzipiga loo

Elimu kama bahari ndugu....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom