Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,315
- 7,730
International Space Station ipo umbali kama wa km.400 kutoka dunian. Inamilikiwa na USA(NASA), Russia(OPSEK), na European(ESA).Pia Canada na Japan zinahusika kusaidia matengenezo kama vile wamiliki halali,hizo juu tatu,ndizo nchi zilizo na stations kila mtu na ya kwake wameziunganisha kwa pamoja.Washirika ambao wamewai kupeleka mtu na chombo huko ni Japan(hawana eno), China juzi juzi(hawana eneo).Canada(hawana eneo).Australia(hawana).Hawana eneo maana yake hawajapeleka stations za kufanya waishi ila wanadandia za wenzao.Kila taifa lenye station linaikalabati station yake Yeye mwenyewe,ingawa wanasaidiana.Safari zilizofanywa kwenda huko ni USA 839. Russia 257 ukijumlisha na ilipoitwa Soviet.Japan 10. China 10.Israel 1. Canada 1.Britain 2.nk. Watu waliofika huko ni 543 kwa ujumla. Kwa sasa kuna watu 6 akiwemo Muingereza Timothy Peake alieenda mwezi uliopita. Marekani Timothy Kopra na Mrusi Malenchenko ambao wapo huko kati ya hao sita, ndio maastranaut waliokaa muda mref kufanya utafit, mpaka mwezi huu wana miezi 11, na wanarudi duniani mwezi wa tatu!.
Nimesikia Kenya nao wanataka wapeleke ya kwao. Sasa sijui nani atapelekwa kukaa kule, Mkamba na other makabila sidhani., hapo kama sio Mkikuyu basi Mjaluo ndo atapelekwa kule.