VIDEO: jamaa atembea uchi kwajili ya elf 5000!

Nilijuwa atakuwa wazi mwili wote.

Kumbe tumbo wazi na Boksa, sio mbaya.

Isingefaa kama angekuwa mtupu mwili mzima
 
Kwa mwanaume hapo hayuko uchi. Uchi maana yake mtupu, sasa huyo si amejisitiri kwa kiasi kikubwa tu hapo. Halafu jamaa kama wamezimua kitu hivi? Sio akili zao wote anaetembea na wanaomshangilia.
 
Kwa mwanaume hapo hayuko uchi. Uchi maana yake mtupu, sasa huyo si amejisitiri kwa kiasi kikubwa tu hapo. Halafu jamaa kama wamezimua kitu hivi? Sio akili zao wote anaetembea na wanaomshangilia.
Kweli, wala hujakosea.

Si unawaona hapo mchana kweupee wapo Baa wanapata Maji, na ushawishi ulianzia hapo Baa wanapokunywa.

Jamaa wako stata hao, wameshazimua.

Si unasikia Mitusi mingi.

Hadi mmoja hapo Baa wanaokunywa amesema, "watu wamedata"
 
Hizi ni bangi
japo kg 2 za dona na robo kg ya dagaa, vibaba viwili mafuta watoto watashangilia kwa uhakika wa kuaminishwa kuiona kesho. japo eneo alikomalizia si rafiki kutimiza bajeti hii maana nawaza kipaumbele cha kwanza ni kiroba. 'Wanaume tumeumbwa mateso...........'
 
Back
Top Bottom