VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
6633286.jpg

Shabiki wa Yanga akitoa dukuduku lake

Ushabiki wa soka Tanzania umezidi kukua katika miaka ya karibuni lakini katika washabiki wote wa soka la Bongo hakuna shabiki mwenye ushabiki uliopitiliza kama jamaa huyu mshabiki wa Yanga ambaye hakuridhika na matokeo na alimwaga chozi baada ya Yanga kutoka sare ya 1-1 na Simba.
Shabiki huyo wa Yanga aliangua machozi akishusha lawama nzito kwa refa wa mechi ya Simba na Yanga pamoja na washika vibendera wake akisema kuwa wameinyima Yanga ushindi.

Angalia VIDEO ya shabiki huyo wa Yanga akishusha lawama zake kwa uchungu mkubwa sana uliomfanya ashindwe kuzuia machozi kutiririka kwenye macho yake.

<tbody>
</tbody>

huyu atakuwa ni shabiki mkuu Boflo
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa analipwa na hawa akina Dauda. Kila mara alie yeye tu. Kuna njia nyingi za kutafuta umaarufu. Nami ngoja nianze mara moja.
 
kwa kweli,nimeamini kuna mashabiki wa kila namna humu duniani.
Ila ukiwa unashabikiia kitu kuita kiasi,unakuwa mtumwa na sio mshabiki
 
Tatizo lake lazima apelekwe MOI,INDIA analia kwaajili ya YANGA, SI BURE nadhani NJAA MBAYA.
 
6633286.jpg

Shabiki wa Yanga akitoa dukuduku lake
Ushabiki wa soka Tanzania umezidi kukua katika miaka ya karibuni lakini katika washabiki wote wa soka la Bongo hakuna shabiki mwenye ushabiki uliopitiliza kama jamaa huyu mshabiki wa Yanga ambaye hakuridhika na matokeo na alimwaga chozi baada ya Yanga kutoka sare ya 1-1 na Simba.
Shabiki huyo wa Yanga aliangua machozi akishusha lawama nzito kwa refa wa mechi ya Simba na Yanga pamoja na washika vibendera wake akisema kuwa wameinyima Yanga ushindi.

Angalia VIDEO ya shabiki huyo wa Yanga akishusha lawama zake kwa uchungu mkubwa sana uliomfanya ashindwe kuzuia machozi kutiririka kwenye macho yake.

<TBODY>
</TBODY>

huyu atakuwa ni shabiki mkuu Boflo
Huyu jamaa nilimsikia akiongea kwa kweli kwa anayoyafanya lazima atakuwa msukure wa Yanga. Uliisikia hii "Sijui nini sijui nini"...Huyo jamaa anawaogopa mashabiki wa Simba kama ukoma, nilimsikia akisema, "Nitawaambia nini nyumbani wakati mashabiki wa Simba wananisubiri"...
 
Last edited by a moderator:
kenya vijana uwa wanajinyonga arsenal ikifungwa na manchester,kila arsernal na man u zikikutana na arsenal akafungwa vijana kenya ujiua kukwepa aibu na deni sababu ya betting,sijashangaa uyo
 
Mpuuzi tu huyu eti anaumia yeye na sio wachezaji.Huyu hana kazi ya kufanya labda msukule mbona mie Yanga lakini hata mechi hiyo sikuwa na muda wa kuiangalia
 
6633286.jpg

Shabiki wa Yanga akitoa dukuduku lake
Ushabiki wa soka Tanzania umezidi kukua katika miaka ya karibuni lakini katika washabiki wote wa soka la Bongo hakuna shabiki mwenye ushabiki uliopitiliza kama jamaa huyu mshabiki wa Yanga ambaye hakuridhika na matokeo na alimwaga chozi baada ya Yanga kutoka sare ya 1-1 na Simba.
Shabiki huyo wa Yanga aliangua machozi akishusha lawama nzito kwa refa wa mechi ya Simba na Yanga pamoja na washika vibendera wake akisema kuwa wameinyima Yanga ushindi.

Angalia VIDEO ya shabiki huyo wa Yanga akishusha lawama zake kwa uchungu mkubwa sana uliomfanya ashindwe kuzuia machozi kutiririka kwenye macho yake.

<tbody>
</tbody>

huyu atakuwa ni shabiki mkuu Boflo

Upuuzi tu kukosa cha kufanya!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom